pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 693
- 889
Tatizo la kubambikiziwa watoto hilo, muulizeni vizuri mama yake.
duh! Hii inaweza ikawa kweli.
Tatizo la kubambikiziwa watoto hilo, muulizeni vizuri mama yake.
children survive reasonable punishments, such as restriction and time-outs. do not punish when you are angry.
- use punishments that teach decision-making and accountability
Mhalifu yeye anapendekeza kuchomwa moto. Jamaa ndio ajaribu hilo pendekezo au?
Keshakuwa sugu huyo!!Mtoto hafundishwi kwa kipigo hata kama ni mtukutu!!Inawezekana ana ugonjwa unaoitwa ADHD(Attention Deficit Hyperactivity Disorder) anakuwa hyperactive!!Kwa yeyote anaye weza toa msaada wa aina yoyote kwa mjukuu wangu ni mtukutu, shule hataki matukio ya udokozi, michezo mingi haishi kwake.
Anasumbua sana ashapigwa sana na kwa sasa ukimpiga anakwambia nichome moto ukimwambia njoo nikuchome anakuja na kujivisha tairi yani acheni tu.
Kwa anaye jua kituo ama dawa anisaidie.
kaka@mfamaji anaishi na bibi na mama ake
Shule ya watoto watundu iko Mbulu kama sikosei. Unaweza kuuliza Wizarani upate uhakika zaidi
Ommy, Dullah, Shebby, Shommy, Chidy n.k.
Hili ndio limekuwa tatizo kubwa kwa sasa lililoikumba Afrika na hasa kusini mwa Jngwa la Sahara i.e majibu mepesi kwa mambo magumu,...eti maombi...ddduuuuuuuh!!!!!!!!!!!!!!!...sijui nani katuroga.
Hapa kuna ukweli sana,Katika Ulimwengu wa roho huwa kuna madai,Wanadamu wengi hawajajua nguvu iliyopo katika Damu, damu inafuatilia ndio maana unaweza kuwa na watoto wengi halafu unakuta mtoto mmoja ana tabia tofauti na wenzake japo umewalea wote katika missing ileile.Tatizo la kubambikiziwa watoto hilo, muulizeni vizuri mama yake.
Mkuu Imani huwa hazichangamani , unaamua moja katika mbili aidha Kulia au Kushoto na sio Shoto- Kulia. Ukimpeleka kwa mganga basi baki kwa mganga, huwezi kumpelelka kwa mganga na kanisani.ltk mtoto huyu anamaudhi yaani basi maombi kisha fanyiwa saaaaana dawa saaaana
Aisee usimpeleke huko ataaribika, atakukasirikia na kuona kuwa umemtenga. Kama unahamini katika maombi usichoke.Shule ya watoto watundu iko Mbulu kama sikosei. Unaweza kuuliza Wizarani upate uhakika zaidi
Kwa yeyote anaye weza toa msaada wa aina yoyote kwa mjukuu wangu ni mtukutu, shule hataki matukio ya udokozi, michezo mingi haishi kwake.
Anasumbua sana ashapigwa sana na kwa sasa ukimpiga anakwambia nichome moto ukimwambia njoo nikuchome anakuja na kujivisha tairi yani acheni tu.
Kwa anaye jua kituo ama dawa anisaidie.