Mtoto wangu mtukutu mno! Naombeni ushauri

Mtoto wangu mtukutu mno! Naombeni ushauri

Jambo Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
670
Reaction score
203
Kwa yeyote anaye weza toa msaada wa aina yoyote kwa mjukuu wangu ni mtukutu, shule hataki matukio ya udokozi, michezo mingi haishi kwake.

Anasumbua sana ashapigwa sana na kwa sasa ukimpiga anakwambia nichome moto ukimwambia njoo nikuchome anakuja na kujivisha tairi yani acheni tu.

Kwa anaye jua kituo ama dawa anisaidie.
 
Huyo labda maombi !!

Hili ndio limekuwa tatizo kubwa kwa sasa lililoikumba Afrika na hasa kusini mwa Jngwa la Sahara i.e majibu mepesi kwa mambo magumu,...eti maombi...ddduuuuuuuh!!!!!!!!!!!!!!!...sijui nani katuroga.
 
ukimpiga anakwambia nichome
moto ukimwambia njoo nikuchome anakuja na kujivisha tairi yani acheni
tu

jaribu hiyo njia anayoipendekeza mhalifu huyo kwanza!
halafu turudi kujadili baada ya matokeo.
 
kwa yeyote anaye weza toa msaada wa aina yoyote kwa mjukuu wangu ni mtukutu, shule hataki matukio ya udokozi, michezo mingi haishi kwake
anasumbua saaaaana asha pigwa sana na kwa ss ukimpiga anakwambia nichome moto ukimwambia njoo nikuchome anakuja na kujivisha tairi yani acheni tu
kwa anaye jua kituo ama dawa anisaidie

ameshakuwa nunda uyo mlikosea mlipokuwa mnapiga dunia pekee ndio itakayomfundisha.
 
kwa yeyote anaye weza toa msaada wa aina yoyote kwa mjukuu wangu ni mtukutu, shule hataki matukio ya udokozi, michezo mingi haishi kwake
anasumbua saaaaana asha pigwa sana na kwa ss ukimpiga anakwambia nichome moto ukimwambia njoo nikuchome anakuja na kujivisha tairi yani acheni tu
kwa anaye jua kituo ama dawa anisaidie
Tatizo la kubambikiziwa watoto hilo, muulizeni vizuri mama yake.
 
  • Expect good behavior from your children
​Children must know what you expect from them and what they can expect from you. When children can predict how you will behave in reaction to them, they will make better behavioral choices themselves
 
  • Children believe what you tell them
​Coach your children on ways to behave appropriately. Teach your children that effort is essential. Use plenty of encouragement. When you encourage your children, they will see that you have faith and confidence in them, and will have it in themselves.
 
  • Once you recognize a misbehavior pattern, establish a plan
​Tell them the rules in advance and be specific and reasonable. Using charts or contracts, spotlight success and provide support and encouragement.
 
Mtoto akilelewa na bibi au babu lazima awe hvyo.

====================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi Futa Delete Kabisa.
====================
 
Hili ndio limekuwa tatizo kubwa kwa sasa lililoikumba Afrika na hasa kusini mwa Jngwa la Sahara i.e majibu mepesi kwa mambo magumu,...eti maombi...ddduuuuuuuh!!!!!!!!!!!!!!!...sijui nani katuroga.

We unataka asomewe albadili kabisa?
 
jaribu hiyo njia anayoipendekeza mhalifu huyo kwanza!
halafu turudi kujadili baada ya matokeo.

Mhalifu yeye anapendekeza kuchomwa moto. Jamaa ndio ajaribu hilo pendekezo au?
 
Kwa yeyote anaye weza toa msaada wa aina yoyote kwa mjukuu wangu ni mtukutu, shule hataki matukio ya udokozi, michezo mingi haishi kwake.

Anasumbua sana ashapigwa sana na kwa sasa ukimpiga anakwambia nichome moto ukimwambia njoo nikuchome anakuja na kujivisha tairi yani acheni tu.

Kwa anaye jua kituo ama dawa anisaidie.
Pole Mkuu, STOP STOP now, acha kumpiga tena kwani keshakuwa sugu... Just mpapase kichwani all the time, Niuvumilivu wako unahitajika na Mpe attension yako zaidi ya mambo yako mengine !! ikishindikana Kuna maombi na Dua'a fulani asomewe na maji yaliyosomewa. In-ShaAllah atapona na utoto utapita nakuwahandsome and clever child.
Good luck Ubarikiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom