Mtoto wa Warioba mbaroni Dar

Traffick kesi inaandikwa kama amefanya bonge la skendo aaah....hayo yapo kila siku.yanatokea tu maana traffick nao wanasumbua sana...
 
Haya tuone Warioba atafanya nini, atamtetea mhalifu au ataacha sheria ifate mkondo.

Waandishi wa habari, hii ndio habari ya kufichuwa ufisadi, kwani huu ni ufisadi wa wanene na vipi hata watoto zao wanavyojiona kuwa wakoo juu ya sheria. Akiachiliwa bila ya sheria kufata mkondo basi itakuwa ni rushwa, ama ya pesa ama ya influence.

Afanye mwanagu hayo, saa hizi manundu mwili mzima na pengine kisha pigwa hata risasi.

Mkuu, yaani katika thread ya Rostam uko mstari wa mbele kumtetea fisadi mkubwa kupita wote Rostamu alafu unathubutu kumwita Mzee Warioba fisadi kutokana na vitendo vya binti yake? HIi haijakaa sawa wewe umekuja na agenda hapa!
 
Hawa police siyo Tanzania tuu nadhani kila kona ya dunia wanapenda kunyanyasa sana vile wananchi.Kuna wakati fulani nilikuwa nimetoka kwangu nipo mitaa ya west chester in PA nilisimama kwenye stop sign,then mara ghafla nakna taa za police nyuma yangu nikasimama,akaja akaniambia kuwa sina make a complete stop at the stop sign i just stop and go.So what happen is akanipa ticket,nikashusha dirisha nikachukua ticket yangu nikapandisha dirisha.si umenipa ticket ok.Naondoka sijafika mbali hata akanisimamisha tena,ok what is this again akasema sikusema vile "thank you" kwake yeye.Nikawa kidogo nimepatwa namshango kwa vipi chalii yeye anataka niseme thank you wakati umenipa ticket na nipo natakiwa kulipia?.Then vile i thought to myself this is harrasment,na kuangalia in less than few minutes nikapata watu wanakuja kushuhudia basi akaogopa kidogo akaniachia.
 
It takes two .... maana hapa wote wana makosa, polisi na Binti Warioba. Nadhani binti siyo kwamba alikuwa jeuri, bali aliogopa na ku-panic alipoona polisi amedandia gari sidhani kama alijua cha kufanya maana angetaka angeweza kufunga breki akamwangusha trafiki from boneti ya gari na akaondoka, lakini aliamua kujisalimisha kituo cha polisi. Hata mwanaume asingeshuka hapo kituoni maana angejua ni kuchezea makofi na ngumi, so ndiyo maana aliogopa kushuka hadi alipoona ni shwari.
Polisi pia hawakutakiwa kum-harass na kudandia bonnet kwani kama wanahisi ni mtuhumiwa au chochote wangeweza kumwandalia road block nzuri tu. Mi nadhani hapa kuna mambo mengine hatuyajui yaliyotokea maana si kawaida kwa polisi kudandia bonnet la gari.
Utafikiri Hollywood comedy!
 
...and a very cheap one, at that!!
 
Polisi wetu njaa kali wananyanyasa sana watu. Ukishikwa tu na polisi basi wanataka hongo hata kama huna kosa. Huyu binti naye hakutumia hekima kufanya yale aliyoyafanya. Angewasikiliza nini wanataka kumwambia ama kufanya katika gari yake then kama polisi wangemuomba hongo angeomba kuongea na huyo mkuu wa jeshi la polisi kumpa taarifa hiyo.
 
- Habari kama hii inatakiwa kwanza kujua ukweli hasa wa kilichotokea, maana so far hakijasemwa kunaweza kuwa na scenario nyingi tu, kama huenda polisi wamekuwa wakimfuatilia toka alikotoka labda alikuwa anakunywa pombe, labda alikuwa anatumia drugs, labda alivunja sheria au Polisi wana yao tu makusudi kwa sababu ni mtoto wa Warioba.

- However, huyu msichana ana tabia mbaya sana ya kuruka ruka na waume wa watu, sasa inawezekana pia kuna mke mmoja huko somewhere ameamua kulipa kisasi kwa kumfanyizia na polisi.

Sasa tusubiri ukweli wote utoke, kama hamkushangaa, mimi hayanishangazi na huyu denish, hafai.

Wazee wa sauti ya umeme FMES!
 
Unasema tusubiri ukweli halafu wewe mwenyewe unaleta speculations na hadithi za wanaume wa watu wenye tabia mbaya ya kuruka ruka na June Warioba.

Hayo hayahusiki kwenye tukio la traffic kumsimamisha dereva, ni udaku.
 
- Kwani alipovunjwa mguu na mzee wa magari mpaka kutibiwa India ilikuwa ni traffic au waume wa watu? Unafikiri kama mtoto wa waziri mkuu mstaafu alienda kutibiwa na hela za kutoka wapi?

FMES!
 
- Kwani alipovunjwa mguu na mzee wa magari mpaka kutibiwa India ilikuwa ni traffic au waume wa watu? Unafikiri kama mtoto wa waziri mkuu mstaafu alienda kutibiwa na hela za kutoka wapi?

FMES!

Huyo "mzee wa magari" ni wewe ndio unamjua. Na hayo ya nani alimlipia matibabu India mtoto wa Waziri Mkuu mstaafu hayo wewe ndio unayajua.

Stori ya wanaume wenye tabia mbaya ya kuruka wanawake zao kwenda kumfuata June Warioba ni speculations zako wewe na udaku usiohusiana na traffic incident.

Usikatae speculations na hadithi zisizo na uhakika wakati ndio wewe wa kwanza kuzileta hapa.
 
Sasa kama June anajirusha na Waume za watu...du!!

Wanaojirusha na waume za watu Dar wako wengi Tu!

Basi if not related ..may be tuwe na thread tofauti!
 
Huyo "mzee wa magari" ni wewe ndio unamjua. Na hayo ya nani alimlipia matibabu India mtoto wa Waziri Mkuu mstaafu hayo wewe ndio unayajua.

Stori ya wanaume wenye tabia mbaya ya kuruka wake zao kwenda kumfuata June Warioba ni speculations zako wewe na udaku usiohusiana na traffic incident.

Usikatae speculations na hadithi za zisizo na uhakika wakati ndio wewe wa kwanza kuzileta hapa.

- Hivi watoto wote wa wakulima na walalahoi kesi zao zinaletwa hapa JF, kwa nini hii imeletwa? Ni kwa sababu ni mtoto wa waziri mkuu mstaafu sasa kama huyajui mambo yake ya mjini, tulia hapa upewe habari, unajua ni kwa nini alirudishwa kutoka US na serikali ya US bila kumaliza shule?

- Ungewaomba walioileta hii habari waiondoe kama hupendi ijadiliwe, lakini as long as ipo hapa ni fair game kumkoma nyani, tusichotaka ni uongo tu, au udaku, so far so good, haiwezekani akakamtwa bila sababu lazima kuna sababu na ni fair game ku-speculate through her record.

- Marehemu Ditopile kabla hajahukumiwa tulipata nafasi ya kumjua vizuri hapa JF on his record tukaambiwa kwamba amewahi kutishia watu wengi na bunduki in the past, na pia alishwahi kukamatwa na mke wa mtu, akatishia na bunduki his way out, mkuu hapa JF huwa ni kukata ishu tu na kila ishu ni fair game, tusichotaka ni uongo na ili kujua uongo basi unahitaji kuja na ukweli.

Huyu mtoto ni balaa tupu na ninajua kwua wanawake wengi wa mjini Dar leo watakuwa wanagonga gilasi tu!

Respect Bro!

FMES!
 
Dar es Salaam leo umenena mkuu yanayopaswa kusemwa, umepatwa na nini? aah! au kwa vile huyu ni mtoto wa Warioba ambaye yuko kundi la wapinga ufisadi?
Mkuu basi tengeneza tabia hiyohiyo ya kuuona ukweli pande zote

Tatizo huwa sieleweki na kama utazifatilia post zangu vizuri utabaini kuwa sina majungu, kwenye haki ntatetea, na ntabaki na mtazamo wa kuona kila mtuhumiwa kuwa ni innocent mpaka awe proven guilty.

Halafu tatizo lingine, ufisadi ni neno moja lenye maana pana kwa maana ya kuwa, ufisadi ni wa aina nyingi tu, unaweza kuwa unapinga aina fulani ya ufisadi huku unafungia macho aina nyingine ya ufisadi.

Mfano, unaweza kuwa unang'aka kuhusu ufisadi wa aina iliyofanywa na wale mawaziri waliotia mkataba na Richmond lakini kwa upande mwingine una tongoza wake za watu na huu huuoni kuwa ni ufisadi tena wa hali ya juu kivyake! huu ni mfano tu wa aina za ufisadi na sijamlenga yeyote.

Natumai ukiendelea kufuatilia post zangu (kama tupo hai) utauelewa msimamo wangu.
 
Sasa kama June anajirusha na Waume za watu...du!!

Wanaojirusha na waume za watu Dar wako wengi Tu!

Basi if not related ..may be tuwe na thread tofauti!

- Yale yale, sasa hao wengine mbona hawajaletwa hapa? Kwa nini ameletwa June peke yake? Inewezekana kuna mke wa mtu amemfanyizia kama alivyopigwa na mzee wa magari na kuvunjwa mguu na mbavu akaponea chupu chupu tena kulee India, aache tabia mbaya.

Tunasema kila wakati hapa JF kwamba wale wote in our society wanatuhumiwa na ufisadi au uovu against jamii, ukichukua time ukaangalia their background wala hatutakuwa na mijadala tena hapa JF maana kila kitu kitakuwa wazi na clear, kama huyu mtoto siku zote yuko on the otherside of sheria this time ndio imetokea kwenye media, sasa tafuta mangapi yake ambayo hayajafika kwenye media, aibuuu tupu!

FMES!
 
- Hivi watoto wote wa wakulima na walalahoi kesi zao zinaletwa hapa JF, kwa nini hii imeletwa? Ni kwa sababu ni mtoto wa waziri mkuu mstaafu sasa kama huyajui mambo yake ya mjini, tulia hapa upewe habari, unajua ni kwa nini alirudishwa kutoka US na serikali ya US bila kumaliza shule?

- Ungewaomba walioileta hii habari waiondoe kama hupendi ijadiliwe, lakini as long as ipo hapa ni fair game kumkoma nyani, tusichotaka ni uongo tu, au udaku, so far so good, haiwezekani akakamtwa bila sababu lazima kuna sababu na ni fair game ku-speculate through her record.

- Marehemu Ditopile kabla hajahukumiwa tulipata nafasi ya kumjua vizuri hapa JF on his record tukaambiwa kwamba amewahi kutishia watu wengi na bunduki in the past, na pia alishwahi kukamatwa na mke wa mtu, akatishia na bunduki his way out, mkuu hapa JF huwa ni kukata ishu tu na kila ishu ni fair game, tusichotaka ni uongo na ili kujua uongo basi unahitaji kuja na ukweli.

Huyu mtoto ni balaa tupu na ninajua kwua wanawake wengi wa mjini Dar leo watakuwa wanagonga gilasi tu!

Respect Bro!

FMES!

Mwanzo umesema tusubiri, umekataa speculation, umesema hivi: "...habari kama hii inatakiwa kwanza kujua ukweli hasa wa kilichotokea"

Halafu sasa hivi unakuja na hadithi za kwamba wanaume wanaacha wanawake zao wanaenda kuruka na June Warioba.

Traffic incident haihusiki na huo udaku.
 
Jamani, naona sasa hatumtendei haki huyu Binti. Itakuwa rahisi kuelewa huu mkasa kama na wewe utajiweka kwenye position yake.

Hawa polisi wamezidi kusumbua watu bila sababu yoyote. Sasa kama tayari wananamba yake ya gari, kwa nini polisi anarukia gari??? Hii si kuhatarisha maisha ya polisi bila sababu yoyote?? Kwani mpaka polisi anarukia gari la huyu binti, kosa lake haswa ni lipi au ni speculation tu ya polisi wa kwanza kuwa hakusimama?? Je, kama binti hakumwona huyo polisi, si polisi wa pili aliposema twende kituoni, binti si alitii amri?? Au polisi anadhani lazima apewe lift??? Binti si alikuwa anaelekea kituoni??

Mimi binafsi, nadhani polisi hapa wana makosa makubwa sana na lazima wajieleze kwa kuhatarisha usalama wa nchi kwa makosa ambayo hayapo.

Mzee ES, Kwa heshima mkuu naomba usimzalilishe huyu binti, ingawa ni right yako kwa sababu hajatenda kosa lolote la maana ila ni maneno ya polisi tu. Yeye ni private citizen na kwa kweli ni mtaratibu sana kama unamfahamu.
 
Mkuu, yaani katika thread ya Rostam uko mstari wa mbele kumtetea fisadi mkubwa kupita wote Rostamu alafu unathubutu kumwita Mzee Warioba fisadi kutokana na vitendo vya binti yake? HIi haijakaa sawa wewe umekuja na agenda hapa!

Naomba soma post yangu #35 kwenye thread hii hii, utapata jibu ya hili.
 
Back
Top Bottom