Mtoto wa Warioba mbaroni Dar

Nadhani kuna watu hawajawai kukutana na nyanyaso za askari wa barabarani, askari wa usalama barabarani wasesahau kabisa kwamba jukumu lao kubwa ni kuelimisha jamii na sio kuadhibu kwanza. Lakini wao wanajua kuadhibu kwanza ili wapate hela ya kula.
 
Ni kweli askari wa barabarani bongo wanachowaza ni rushwa tu!! Ukikutana nao ni karaha tupu. Ila watoto wa 'wakubwa' nao viburi. Yeye km alikuwa 'clean' kwanini alikuwa hataki kusikiliza amri ya polisi wa barabarani. Angewasikiliza then alianzishe...
 
Haya tuone Warioba atafanya nini, atamtetea mhalifu au ataacha sheria ifate mkondo.

Waandishi wa habari, hii ndio habari ya kufichuwa ufisadi, kwani huu ni ufisadi wa wanene na vipi hata watoto zao wanavyojiona kuwa wakoo juu ya sheria. Akiachiliwa bila ya sheria kufata mkondo basi itakuwa ni rushwa, ama ya pesa ama ya influence.

Afanye mwanagu hayo, saa hizi manundu mwili mzima na pengine kisha pigwa hata risasi.

NEGATIVE ATTITUDE...... kwani mtoto wa uswahilini hawezi kuwa jeuri kwa askari wababaishaji??????

I LIKE MY SIGNATURE.
 
NEGATIVE ATTITUDE...... kwani mtoto wa uswahilini hawezi kuwa jeuri kwa askari wababaishaji??????

I LIKE MY SIGNATURE.
__________________
ALWAYS INTERESTED ON THE OTHER SIDE OF THE STORY.
TETESI zinasema askari aliyemkamata alikuwa ANAMTONGOZA siku nyingi...! TENA ZINZIDI KUSEMA KUWA ANAITWA afande "SAMUELY"
HAZIISHIII hapo tetesi hizo zinazidi bainisha kuwa AFANDE "SAM" hupenda kuwakamata na kutongoza akinamama wenye magari yao, anapochomolewa huwaandikia NOTIFICATION.....!
""THIS IS THE OTHER SIDE OF THE STORY""
 
--------------------------------------------------------------------------------

Mods, hii ipo tayari, kulee ''watoto wa wakubwa nao'' kwa hiyo ifuteni kwani ile imeshatangulia.
__________________
kuna threads ngapi za wakina rostam .manji huongei au weye ndio wale wale wakina sophia simba.na kizee cha tang\a
 
mimi simjui huyu dada lakini as far as I am concerned my traffic wa Dar wengi wao ni pasua kichwa na huyu dada alifanya vizuri sana lakini cha ajabu ni huyu askari anatakiwa ashitakiwe kwa kuatarisha maisha yake na ya dreva hakuna sheria inayosema kuwa ukimsimamisha mtu akakataa basi ukae juu ya boneti this ia ridicurous and an acceptable kwa askri pana utaratibu na sheria za kufuata kama ukimsimamisha mtu akakataa na sikukaa juu ya boneti kwa maana hiyo huyu askari alikuwa na nia ingine kwani huwezi kujifanya unarida sheria kwa kuvunja sheria ingine kwa maoni yangu huyo askari antakiwa ashitakiwe ama afukuzwe kazi na nafikiri alifanya hivyo kwa sababu alikuwa ni mwanamke angekuwa mimi akaa juu ya boneti tungesema mengine!!
 
aah! basi bana! kwani mi sioni miguu yake au mikono yake ya hii fukunyu manaake, aah! iwache ilalee
 
Back
Top Bottom