mtoto wa president kagame ni mzuri mashalah,hakunaga

Hivi na yule anayimba kwaya ya kwetu pazuri si watoto wake? Kuna binti na wa kiume wanafanana sana na wazuri pia. Il ni well mannered sana.
 
Huyo si askari jamani, oooh watoto wake ni askari kumbe, sasa utamtongazaje huyo? lazima na wewe uwe na bunduki mbili ile kama ya FFU wetu na ile kama ya kwangu

Haya mambo huwa ni tofauti kabisa maana hata komandoo huwa mlaini mbele ya mwenzake hata kama hajashika bunduki
 

ingawa nsoma comment yako nkiwa na castle lager 6 BROTHER NI UKWELI MTUPU ULIOUANDKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…