Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,160
we jua kafariki,kilichomuua wakitakia nini jaman?Wadau,nimesoma habari hizi kwenye magazeti ya juzi Jumatano tar.15.09.2010 kuwa mtoto wa Mzee Pius Msekwa aitwaje Julius Msekwa amefariki huko Cyprus na anatarajiwa kuzikwa Dar Jumamosi... Ni nini kilichomkumba kijana huyu? Kwa mtazamo wa picha iiliyowekwa gazetini anaonekana ni kijana sana... !!! RIP Julius....
Julius ni wa mama yupi? Pole Mzee Msekwa na familia yote.
Namfahamu yule mama wa pale Mlalakuwa na marehemu kaka yao Ayoub. Nitapita pale jioni hii.wa mke halali wa Pius msekwa,alifariki mwaka jana.
Namfahamu yule mama wa pale Mlalakuwa na marehemu kaka yao Ayoub. Nitapita pale jioni hii.
Namfahamu yule mama wa pale Mlalakuwa na marehemu kaka yao Ayoub. Nitapita pale jioni hii.