Wakuu, nina idea ya kutunga singo ya kumpelekea ujumbe Ngeleja, nilipenda nitumie strategy ya kama "naongea na riz 1" pia naomba wadau waniongezee mistari katika wimbo huo!
Asanteni
ngoja nikumbuke jina lake....ana mtoto flani hivi wa kike alipigwa mimba form two
Ama kweli ukistajabu ya Mussa yatakukuta ya firauni! Dogo hiyo single yako bila la jina la mtoto wa Ngeleja haitoki? Kama ana watoto wengi unataka jina lipi sasa au bora mtoto wa Ngeleja tu? Duuuh kweli JF kuna kazi,Wakuu, nina idea ya kutunga singo ya kumpelekea ujumbe Ngeleja, nilipenda nitumie strategy ya kama "naongea na riz 1" pia naomba wadau waniongezee mistari katika wimbo huo!
Asanteni
Wakuu, nina idea ya kutunga singo ya kumpelekea ujumbe Ngeleja, nilipenda nitumie strategy ya kama "naongea na riz 1" pia naomba wadau waniongezee mistari katika wimbo huo!
Asanteni
Ndiyo huyo MEGAWATI aliyepigwa mimba na Dowans aka Richmond
Akili za mbwa hizi
Akili za mbwa hizi
Akili za mbwa hizi