TanzActive
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 367
- 73
Jamani nimeona katika media jana picha hii
kwamba mmoja wa mabinti hao ni mtoto wa fisadi fulani ,nikasononeka sana yaani watoto wa wakulima hapa wananyimwa mikopo na wale wa wezi wa pesa za wakulima wanatumia pesa hizo za wizi kusomesha watoto wao katika vyuo ghali kabisa duniani!!! Je haya ndo maisha bora kwa kila mtanzania?