Mtoto wa mkulima ananyimwa mkopo wa fisadi anasoma katika chuo bora US!

ujinga tuu na jazba zisizo na maana. Mwengine kaja na rabis yake hapa ananiita karamagi..hehehe.. Mwisho wasiku jazba hazitupeleki popote mtabaki kuongea vapour tuu.. Tuongelee jinsi ya kujenga Taifa imara sio kuwasimanga watoto wa watu especially ones with the brains that we need now and in the future. Christine is a smart young lady na baadae kama atakuwatayari kuwasaidia watanzania itakuwa jambo la kheri sana. Sijui mchukia fisadi na yule ambae nimekataa kumuita punda mtatusaidiaje zaidi ya kuongea MVUKE! hahahaha..aah aisee. Too funny.

Imetosha weye na umeeleweka kwamba siyo mtoto wa Karamagi na zaidi yuko huko kwa scholarship sasa kinachokufanya kupiga kelele huku ukitoa povu mdomoni ni nini? Halafu jamaa hajataja Karamagi popote pale kwenye bandiko lake wewe kwa kuwashwa kwako ndio umetaja. Karamagi akilalamika kuchafuliwa jina atalia na wewe siyo aliyesema fisadi fulani.
 
Its the wrong Karamagi, hako katoto kanako ongelewa nakafahamu dada yake alikuwa classmate wangu mda mrefu. SIo mtoto wa Nazir Karamagi. huyu kaona jina akaassume ndio ndio mwenyeew. Kilichoniudhi mimi nikwamba hakufanya any effort to confirm ameshutumu mtu ambae amefika alipofika kwa efforts zake na akili alizopewa na Mungu. Sasa kama tuna jazba kiasi cha kuto kukemea watu wanao operate kwa utaratibu huo basi tutakuwa taifa lisilo na tofauti na genge la wahuni. Mtu kapata A zote, sio mchezo sasa anasomea udaktari labda atakuja kutusadia wakati huo tuwazee.. Sio mtoto wa karamagi, simple as.. unless kama kuna karamagi mmoja duniani.lol

- Marekebisho kidogo tu, Mtoto wa kiume wa Karamagi anasoma Private College NYC, ambayo ni very expensive na analipiwa na old wake sio scholarship, huyu anayetajwa hapo sio wa Karamagi, sawa Karamagi ni fisadi lakini mnyonge mnyongeni.

Respect.

FMEs!
 
Imetosha weye na umeeleweka kwamba siyo mtoto wa Karamagi na zaidi yuko huko kwa scholarship sasa kinachokufanya kupiga kelele huku ukitoa povu mdomoni ni nini? Halafu jamaa hajataja Karamagi popote pale kwenye bandiko lake wewe kwa kuwashwa kwako ndio umetaja. Karamagi akilalamika kuchafuliwa jina atalia na wewe siyo aliyesema fisadi fulani.

Nadhani kinacho mkasirisha ni taarifa ambazo hazifanyiwi uchunguzi wa kina,Huu ni uchochezi mimi nilijaa upepo nilipoisoma kwanza kabla ya mdau mwingine kuiweka bayana.Hayo ndo tunayoita majungu, umbeya na uongo.
Uongo ni kitu chochote ambacho si sahihi, hali umbeya ni taarifa ambazo aidha zinafanana fanana na ukweli lakini zikatolewa mahala pasipo sitahili au kwa namna ambayo si sahihi.Nashauri inapotokea jambo kama hili tuwe na utamaduni wa kuomba radhi hasa tunapo potosha umma.
 
...sio kila mtu anayesoma expensive college ni fisadi wakuda nyie!
 
Its the wrong Karamagi, hako katoto kanako ongelewa nakafahamu dada yake alikuwa classmate wangu mda mrefu. SIo mtoto wa Nazir Karamagi. huyu kaona jina akaassume ndio ndio mwenyeew. Kilichoniudhi mimi nikwamba hakufanya any effort to confirm ameshutumu mtu ambae amefika alipofika kwa efforts zake na akili alizopewa na Mungu. Sasa kama tuna jazba kiasi cha kuto kukemea watu wanao operate kwa utaratibu huo basi tutakuwa taifa lisilo na tofauti na genge la wahuni. Mtu kapata A zote, sio mchezo sasa anasomea udaktari labda atakuja kutusadia wakati huo tuwazee.. Sio mtoto wa karamagi, simple as.. unless kama kuna karamagi mmoja duniani.lol
Mwingine ahenyeke weee ....halafu aje kutusaidia?
 
Kwani kura uwa tunapiga za nini? Uwa tunapiga kura ili kuwapa wakale au sio.Hata mwaka kesho tutawapigia ili wale, sisi tuweke mikono nyuma au sio.
 
Christine Karamagi ni mtoto wa Dr Karamagi, Mhadhiri katika idara ya Uchumi University of Dar es Salaam. I heard ana ndugu yake Havard, hao ni vipanga wa kiukweli hawajabebwa.
 
Christine Karamagi kama sikosea alisomaga shule ya msingi Academic International School. Kama ndiyo huyo I know her enzi hizo za shule & she was very smart hata kuishindia shule competitions mbali mbali. Kama siyo huyo aliye soma Academic samahani lakini if it's her I knew her & she was very smart even back then.
 
Sina sababu za kuamini kuwa wewe ni wakala wa CCM,unaiba kura wewe ndo unayejua what exactly you're doing, lakini kuiondoa CCM madaraka kutasaidia sana kuondoa matabaka hasa katika bodi ya mikopo, haingii akilini kuwa watoto wanakosa elimu kisa matabaka, kumbuka ahadi Kumi za TANU,sasa huu ukiritimba wa CCM wa matabaka unatoka wapi? mbona wenyewe waliosomeshwa bure na kodi za wananchi, they have to be very careful hasa hao waliosomeshwa bure na huku wakila kuku na mayai wapotaka kusema watoto wa wakulima wakopoeshwe ada tena kwa matabaka, historia itakujua kuwaumbua hata kwa kufukua mifupa yao na mafuvu kupima IQ zao.It is very shameful, a country like Tanzania with plenty of Mineral resources fail to provide free education to her people,aibu gani hii jamani..
 
Back
Top Bottom