10yrs flat tokea "nilipogawana mbao" na my ex-wife wangu aka mama watoto.
Kwa hiyo miaka yote hiyo ulikuwa hugusi kabisa wanawake? ..namaanisha kudu nao..
mimi nakubaliana na wewe aspirin..very strong message usioe kubahatisha mtoto,mtoto ni majaaliwa unayopewa na mwenyenzi mungu,unaweza ukapewa na asiwe na heri na wewe,unaweza ukawa na mke na hao watoto ulizaa na mama mwingine na ukawa mwenye furaha,lakini kuoa unajua ina heshima yake aspirin?unaomba tu mwenyenzi mungu akupe lililona heri na wewe
Kwa hiyo miaka yote hiyo ulikuwa hugusi kabisa wanawake? ..namaanisha kudu nao..
Aisee Mbu pole sana kwa hiyo hali uliyonayo...Mshukuru Mola amekujalia hata hao vijana wawili mana kuna wengine hata mtoto mmoja kupatikana ni shida au hawapati kabisa..Ungekuwa na mabinti wawili wabda sasahivi ungekuwa unataka baby boy!! ila ridhika na pokea baraka zote zitokazo kwa Mola kwa mikono miwili!!
...naam, kweli kabisa maneno yako.
Ni mapungufu yangu, kwani sijajaaliwa ukamilifu.
Baada ya kupata nasaha mbali mbali,
akili imenirudia na nishamlaani shetani.
Shukran BJ.
I doubt mkuu....
I doubt kama mawazo/maoni ya watu hapa yanaweza kubadili 'desire' yako....
Binafsi nina hali kama ya kwako kiasi fulani...nina wavulana wawili (ila nipo pia na mama yao/mke wangu)...
Kuna wakati nahisi uhitaji wa katoto ka kike, ila tulishapanga kuzaa watoto wawili pekee....hiyo 'desire' ya kabinti inasakama nafsi yangu sana...japo nshaamua wawili wanatosha!
umuasili mtoto ndio nini? Adoption?
Hiyo nayo ni Option ninayoifikiria, lakini natamani nichangie Genes zangu
kwa mwanamke anayefit 'my fantasy' ya kuwa mama wa binti wangu.
Hilo la kwanini sihitaji mke ngoja tu niliweke kwenye mabano (sihitaji kwa sasa.)
una gerentii gani atazaa mwanamke na siyo dume tena?
...Rahisi sana. Ushawahisikia In Vitro Fertilization (IVF) Treatment, maishani mwako?
Huko kuna Gradient Method, Flow Cytometry, au Preimplantation Genetic Diagnosis (PGD)
kwenye uchambuzi wa Y-Chromosomes from X-Chromosomes.