Mtoto wa Kike.

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,845
...kuna nyakati hunijia wazo nitafute mw'mke anizalie mtoto wa kike, aniachie mtoto (aendelee na maisha yake.) Sihitaji mke:nono:, wala kujaribu mtoto mwingine na my Ex-Wife wangu, (mama wa wanangu wawili wa kiume.)

Cute-Black-Babies.jpg

Nini faida/hasara za jambo hilo?
 
kwa nn huhitaji mke? kuna yepi yaliyotokea mpaka umefikia uamuz huo? bora umuasili mtoto, lakin mwanamke akuzalie af achukue time yake hapo ni ngumu, atakuja akugande tu siku moja.
 
how old are you?????
kama upo above 45...
kamuone psycologist..
unaweza kuwa unaipitia midlife crisis.....
hilo tatizo ni kubwa na huku africa halizungumzi sana
 
kwa nn huhitaji mke? kuna yepi yaliyotokea mpaka umefikia uamuz huo? bora umuasili mtoto, lakin mwanamke akuzalie af achukue time yake hapo ni ngumu, atakuja akugande tu siku moja.

umuasili mtoto ndio nini? Adoption?
Hiyo nayo ni Option ninayoifikiria, lakini natamani nichangie Genes zangu
kwa mwanamke anayefit 'my fantasy' ya kuwa mama wa binti wangu.

Hilo la kwanini sihitaji mke ngoja tu niliweke kwenye mabano (sihitaji kwa sasa.)
 
Hakuna mwanamke atakayekubali kuzaa na kumwacha mtoto wake, lbda useme mzae then abaki na mtoto umsaidie kuhudumia. Lkn nn klkupata mpk hutaki mke?
 
how old are you?????
kama upo above 45...
kamuone psycologist..
unaweza kuwa unaipitia midlife crisis.....
hilo tatizo ni kubwa na huku africa halizungumzi sana

Nope,
The Boss...labda early signs ndio zimeanza, sijafika 45 bado, few more years to go!
...Pheeewww!
 
kuasili ndo adoption yenyewe,
probability ya kupata mtoto wa kike/kiume ni 0.5 sasa hata ukimpata huyo mwanamke itabidi ufanye manuva ili apatikane huyo wa kike usije ukapata tena wa kiume.
 
Nope,
The Boss...labda early signs ndio zimeanza, sijafika 45 bado, few more years to go!
...Pheeewww!

una dalili za midlife crisis
kwanza humtaki mkeo...dirvoce..
halafu ni kama hutaki mwanamke mwingine but
unataka uzaliwe mtoto tu...
hauko normal.....
 
Hakuna mwanamke atakayekubali kuzaa na kumwacha mtoto wake, lbda useme mzae then abaki na mtoto umsaidie kuhudumia. Lkn nn klkupata mpk hutaki mke?

...dah, nimejichongea nini?
Nadhani kwasasa niyaache kabatini hayo maskeletoni ya ex-wife yapigwe na vumbi :hatari:!
:focus:
Sweetlady, Mimi nataka mtoto wa kike. Hujawahi sikia Sperm Donor?
 
kuasili ndo adoption yenyewe,
probability ya kupata mtoto wa kike/kiume ni 0.5 sasa hata ukimpata huyo mwanamke itabidi ufanye manuva ili apatikane huyo wa kike usije ukapata tena wa kiume.

...unamaanisha IVF treatment?
 
...kuna wa manjano na matende, shaurilo!

Hivi, kwani kuoa/kuolewa ndio kuzaa?
Msipojaaliwa mtoto je?

Kwani lazima uwe na mtoto na hasa wa kike maisha haya?

Maisha mafupi bwana, zungumza na mkeo myamalize, kama Mungu anasamehe dhambi kubwa kubwa ije kuwa binadam kusamehe makosa ya kibinadam?
 
Kwani lazima uwe na mtoto na hasa wa kike maisha haya?

Maisha mafupi bwana, zungumza na mkeo myamalize, kama Mungu anasamehe dhambi kubwa kubwa ije kuwa binadam kusamehe makosa ya kibinadam?

...Well,

unawezekana una elements za psychologist; social material and Understanding emotional distress.
Umegundua nini kwenye ujumbe wa mada hii?

Kwanini ume link matakwa ya mtoto wa kike, na kusameheana kwenye maisha ya ndoa?
Be free to express yourself.
 
I have to think Mbu how to express my thoughts about that, gimme some minutes.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbu naona kidogo unatubabaisha akina mama. Huyo mtoto akisha zaliwa tu upewe unadhani ni mama gani mwenye akili zake timamu akupe mtoto wake mchanga? Utamnyonyesha na kumuhudumia ipasavyo kama mama mzazi? Na hapa sizungumzii kutafuta mfanyakazi ukamlipa fedha ili amhudumie wakati mama mwenyewe hayupo, au uwape dada zako au mama yako mzazi - never!

Unazungumzia uwezekano wa kupata surrogate mother akuzalie halafu akukabidhi mtoto ujue hiyo ni ngumu sana kwa kwetu Afrika.

Namba mbili, uwezekano wa kupata mtoto wa kike au wa kiume ni 50-50 kama alivyozungumzia mchangiji mmoja hapo juu. Upo uwezekano wa kuongeza chances za kupata mtoto wa kike lakini hiyo siyo guarantee. Jee akipatikana mwanamme ndiyo utamkataa?
 
Mbu naona kidogo unatubabaisha akina mama. Huyo mtoto akisha zaliwa tu upewe unadhani ni mama gani mwenye akili zake timatu akupe mtoto wake mchanga? Utamnyonyesha na kumuhudumia ipasavyo kama mama mzazi? Na hapa sizungumzii kutafuta mfanyakazi ukamlipa fedha ili amhudumie wakati mama mwenyewe hayupo, au uwape dada zako au mama yako mzazi - never!

Unazungumzia uwezekano wa kupata surrogate mother akuzalie halafu akukabidhi mtoto ujue hiyo ni ngumu sana kwa kwetu Afrika.

Namba mbili, uwezekano wa kupata mtoto wa kike au wa kiume ni 50-50 kama alivyozungumzia mchangiji mmoja hapo juu. Upo uwezekano wa kuongeza chances za kupata mtoto wa kike lakini hiyo siyo guarantee. Jee akipatikana mwanamme ndiyo utamkataa?

Bitimkongwe,
Shukran kwa kuyaweka wazi haya.

Ngoja nikuulize swali la ziada. Kwa maoni yako wewe bitimkongwe,
kwenye Orphanage (nyumba za yatima) Umri gani unafaa ku adopt mtoto?
 
Back
Top Bottom