Mtoto wa Kike.

Mbu, l real feel for u especially after ur last post! What l can tell u is I am with u and l am going to pray for u tonight! Who said miracles don't happen!

Yaani niki recall jinsi baby girl wangu anavyopendwa na babake, I feel for Mbu.

I am praying for his dream to come true.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
nimekapenda hako katoto.

...umeona ee? acha tu.

Ijapokuwa umeshapata maoni ya kutosha lakini bado naona unaweza ku adopt mtoto na akawa kama wako. Na hasa mtoto ambaye yuko kama miaka miwili mpaka mitatu hivi. Tatizo litakuja vile vile ikiwa huna mke ina maana utampangisha kwa mama, dada au mfanyakazi.

Walivyokueleza wenzangu kuhusu single parenting ni kweli kabisa. Sisi baba yetu alifariki tukiwa wadogo sana (six years of age) na mama yetu hakuolewa tena aliendelea kutulea mwenyewe. Ile gap tuliihisi kabisa mpaka baadhi ya wakati mimi nilikuwa najiuliza kwa nini baba yangu amekufa mapema na wenzangu wanao baba zao?

...wow bitimkongwe, nimekuelewa vizuri sana hapo.
Well said.

Mbu, l real feel for u especially after ur last post! What l can tell u is I am with u and l am going to pray for u tonight! Who said miracles don't happen!

...Kaunga, ubarikiwe sana. Nawe Mw'Mungu atakufungulia kila lililo jema na wewe.
 
mi siwezi kukushauri sana cha msingi acha uhuni na uzinzi huna lolote,eti hutaki kuoa nani kasema!hizo ni gear tu ya kupitia wanawake tofauti tofauti,badilika badili mwenendo oa ndugu kutuepushia watoto wa mtaani
 
ooh mbu,wakati mwingine maisha huwa hayawi vile tunavopanga tunapitia majaribu na mambo mengi ya kukatisha tamaa lakini hatuna budi kuomba na kushukuru kwa yale tuliyojaliwa na Mwenyezi Mungu ili tuzidi kuona baraka na kutimiziwa mahitaji ya mioyo yetu.

nakuombea kila la heri.
 
mkuu Mbu.

Kwanza: kumtafuta mwanamke akuzalie mtoto halaf umtenganishe na mama yake ni kujiridhisha wewe na kumtesa mtoto kisaikolojia na kinadharia. uko tayari kubeba huo msalaba?

Pili: Kuna age ambayo mtoto especially wa kike anahitaji malezi ya mama zaidi ili akamilike na akabiliane na maisha kijinsia yake zaidi, kumlea wewe kunaweza kukampotezea mwelekeo mzima wa mfumo jike.

Tatu: Sijui ni muda gani tangu uachane na X wako lakini whatever the case, kumkimbia mwanamke katika maisha yako sio solution! let ur experience lead u to the best of where u belong.

Mwisho: kama ushauri haukufaa itabidi tumPM dasophy haraka iwezekanavyo.
 
Klorokwin.......thanx for bringing this up............haya pia ni ya kuzingatia sana,.............instead of us wanandoa kujifikiria what we will gain/loose kwa kuwa na mtoto we should also think about how the kid will be fairing.
 
mi siwezi kukushauri sana cha msingi acha uhuni na uzinzi huna lolote,eti hutaki kuoa nani kasema!hizo ni gear tu ya kupitia wanawake tofauti tofauti,badilika badili mwenendo oa ndugu kutuepushia watoto wa mtaani

....sawasawa bro Mike, nitajitahidi kuepuka uzinifu kaka.
Asante kwa ushauri bana. Ukubwa jaa! LOL...
 
mkuu Mbu.

Kwanza: kumtafuta mwanamke akuzalie mtoto halaf umtenganishe na mama yake ni kujiridhisha wewe na kumtesa mtoto kisaikolojia na kinadharia. uko tayari kubeba huo msalaba?

Pili: Kuna age ambayo mtoto especially wa kike anahitaji malezi ya mama zaidi ili akamilike na akabiliane na maisha kijinsia yake zaidi, kumlea wewe kunaweza kukampotezea mwelekeo mzima wa mfumo jike.

Tatu: Sijui ni muda gani tangu uachane na X wako lakini whatever the case, kumkimbia mwanamke katika maisha yako sio solution! let ur experience lead u to the best of where u belong.

Mwisho: kama ushauri haukufaa itabidi tumPM dasophy haraka iwezekanavyo.

Kumbe siku nyingine ..."you take life seriously"..na kuongea mapoint kwelikweli.....BIG UP...!
 
Faida za jambo lako ni kwamba utaweza kuridhisha nafsi yako iwapo mpango wako utafanikiwa.
Probability ya kufanikiwa ni 0.5.
Hasara: utazidi kuhuzunika iwapo hutafanikiwa mpango wako, usumbufu utaopata kutoka kwa huyo mama. Wengi hawapendi kuzalishwa na kuacha.
Pole sana.
 
Kumbe siku nyingine ..."you take life seriously"..na kuongea mapoint kwelikweli.....BIG UP...!

Kumbe nawe umeona eeh! Mkuu Mbu wakati mwingine binadamu tunakuwa very selfish me me me me me me`` I am very sorry to say so bila kufikiria kila tunachokitaka sisi kina athari gani kwa wale wengine wanaohusika. Katika hii case yako Mama na mtoto atakayezaliwa tuchukulie ndiyo utajaliwa kumpata huyo Princess. Mimi sikushauri kabisa utimize nia yako ya kumtafuta huyo Princess kwa namna hii Mkuu.
 
mkuu Mbu.

Kwanza: kumtafuta mwanamke akuzalie mtoto halaf umtenganishe na mama yake ni kujiridhisha wewe na kumtesa mtoto kisaikolojia na kinadharia. uko tayari kubeba huo msalaba?

Pili: Kuna age ambayo mtoto especially wa kike anahitaji malezi ya mama zaidi ili akamilike na akabiliane na maisha kijinsia yake zaidi, kumlea wewe kunaweza kukampotezea mwelekeo mzima wa mfumo jike.

Tatu: Sijui ni muda gani tangu uachane na X wako lakini whatever the case, kumkimbia mwanamke katika maisha yako sio solution! let ur experience lead u to the best of where u belong.

Mwisho: kama ushauri haukufaa itabidi tumPM dasophy haraka iwezekanavyo.

La, La, La!....chonde kakaa...usimwite Da Sophy!

anyway,...umegusia la msingi sana malezi na mahitaji ya binti akiwa anakua.
Point taken bro.
10yrs flat tokea "nilipogawana mbao" na my ex-wife wangu aka mama watoto.
Sasa tumekuwa mabest frendi tu,...no more no less.

Darasa limenoga, naona hasara zinazidi faida.
Soon nita make up my mind for good.
chloroquine.gif

Thx again Bwana kidonge cha malaria!
 
Kumbe nawe umeona eeh! Mkuu Mbu wakati mwingine binadamu tunakuwa very selfish me me me me me me`` I am very sorry to say so bila kufikiria kila tunachokitaka sisi kina athari gani kwa wale wengine wanaohusika. Katika hii case yako Mama na mtoto atakayezaliwa tuchukulie ndiyo utajaliwa kumpata huyo Princess. Mimi sikushauri kabisa utimize nia yako ya kumtafuta huyo Princess kwa namna hii Mkuu.

...halafu BaK nimekuona muda mrefu ukiisoma hii sredi nikawa nasubiria kombora lako.
Lakini madhali hata wewe Bro wangu umeikandya hii, bora niondoe shilingi tu.
Nakubali matokeo.

Haikuwa riziki yangu kujaaliwa ka Princess, Inauma lakini ukweli utabakia ukweli.
Ndio maana nikauliza faida na hasara.

Madhali hasara zimezidi faida, acha nijitafakari upya,...
I hope Mw'mungu atanijaalia wajukuu wakike,...I will spoil them more!
 
La, La, La!....chonde kakaa...usimwite Da Sophy!

anyway,...umegusia la msingi sana malezi na mahitaji ya binti akiwa anakua.
Point taken bro.
10yrs flat tokea "nilipogawana mbao" na my ex-wife wangu aka mama watoto.
Sasa tumekuwa mabest frendi tu,...no more no less.

Darasa limenoga, naona hasara zinazidi faida.
Soon nita make up my mind for good.
chloroquine.gif

Thx again Bwana kidonge cha malaria!
hapo red panatisha kaka lakini I wont click that button cuz it is not meant to be touched. Acha tuongelee mtoto kwa leo.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
...halafu BaK nimekuona muda mrefu ukiisoma hii sredi nikawa nasubiria kombora lako.
Lakini madhali hata wewe Bro wangu umeikandya hii, bora niondoe shilingi tu.
Nakubali matokeo.

Haikuwa riziki yangu kujaaliwa ka Princess, Inauma lakini ukweli utabakia ukweli.
Ndio maana nikauliza faida na hasara.

Madhali hasara zimezidi faida, acha nijitafakari upya,...
I hope Mw'mungu atanijaalia wajukuu wakike,...I will spoil them more!

Nimeguswa sana na jinsi ulivyolichukulia hili suala na maamuzi baada ya kupata faida na hasara toka kwa wachangiaji. Usikate tamaa.MUNGU hutenda miujiza usijeshangaa tu ukaletewa mke mwema na uzao wake wa kwanza ukawa wa kike........hakuna suala la umri kama aliwezampa mtoto Sarai akiwa na 99 hawezishindwa kukutendea muujiza wewe kaka............bora tu iwe njia halali.

Ni ngumu kwa hali ya kawaida kibinaadamu but jipe moyo utashinda.

(Mbona umeogopa DaSophy?? Hahahahaha
 
Pia wachangiaji hawakwenda personal wala kuleta mzaha au kubadili mwelekeo na maana nzima wa uzi huu.

I wish wachangiaji wangekuwa serious hivi kwenye mada zote isipokuwa jukwaa la utani.

Mbu kaona upande mwingine wa shilingi yake.

One love jamani.
 
kikubwa hapa ni kumshirikisha mwenyenzi mungu na kuangalia wapi wewe ulipokosea ukiwa kwenye ndoa.,mtoto ni maajaliwa unaweza tafuta kwingine ukapata mtoto asie na heri na wewe,imaana yake akawa disable au mzinzi akikua,namaana miaka kumi ilopita umeachana na mkeo mpaka leo hujaoa tena?hapo lazima aungalie tatizo nini haswa wakati ulipokuwa kwenye ndoa,unaweza ingia kwenye ndoa tena na ikawa umeruka majivu ukakanyaga moto.muhim mtangulize mwenyenzi mungu kwanza kabla hujafanya lolote na atakupatia utakalo.lakini kuruka ruka leo na mwanamke huyu kesho yule haipendezi na raha ya mwanaume na heshima ni mke same to mwanamke.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom