Mtoto wa JK aula Etihad Airways

Mtoto wa JK aula Etihad Airways

Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Training School" ya Etihad ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.

Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.

Ndg yangu barafu kwani hayo masaa hawezi kupatikana kwenye ATCL zetu, PW, FastJet, hata kwa majirani zetu KQ au Rwandair?

Utaratibu upoje kupata hayo masaa?
 
Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Training School" ya Etihad ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.

Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.
_20170709_135551.JPG
 
Safi sana, nguvu ziongezeke kuendelea kutafuta vipaji hasa toka familia za kawaida..
 
Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Training School" ya Etihad ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.

Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.
Familia ya Jakaya na Familia ya Shehe Mansoor ni marafiki walioshibana! So dogo anaweza kua pale halipi hata cent moja!

Huyu dogo nilimwona Feza ya pale kawe mara ya mwisho mwaka 2016 akiwa mwanafunzi, na mwenzake yule Chodo a.k.
a Khalfa Sasa nawaza kafikaje hadi kua rubani?? Anya way Fweza ndo sabuni ya roho!!
 
Akiwa O'level au A'level?
Au Feza ile International?Si ajabu ameamua kutokwenda chuo na kujiunga na "Flying School"
 
Back
Top Bottom