Mtoto wa JK aula Etihad Airways

Mtoto wa JK aula Etihad Airways

Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Etihad Flying School" ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.

Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.

Au anaweza akawa kwenye shule ya marubani iliyo chini ya kampuni ya ndege ya Etihad.Wakuu kuinua dude kama Boeing 737-800,Boeing 777,Boeing 787 au Airbus 380 au ile mpya A350 siyo kwa bar moja begani.Utauwa watu dakika moja tu.

Kitu kingine wazazi tunachopaswa kujua,a pilot is just a mere driver.Urubani ni kama udereva tu,training yake ni miezi sita baada ya hapo unaanza sasa kuruka ili upate masaa ya kuweza kukupa uzoefu wa kurusha ndege,unaanza kupata leseni ya kuruka ukiwa solo,then ya kuruka na abiria na baadae ndege za kibiashara.

Tatizo ni ada ilivyo ghalama.Kitu kilicho kigumu ni kuwa Engineer wa ndege na sio rubani.Ndio maana zile ndege pale nyumbani terminala one,vijana wengi waliishia kidato cha nne,sababu baba zao wana pesa,wakaenda course South Africa na USA na sasa wanarusha.

Mzee Mwinyi ana mwanae rubani,sema ile sio familia ya facebook na Instagram,

_20170709_135551.JPG
 
1. Ridhwani
2. Salama
3. Miraji
4. Khalfan
5. Khalfa
6. Rashid
7. Mwanaisha
8.
9.
Hua wapo tisa, wawili nimewasahau majina yao! Siku Obama kaja na watoto wake Tanzania, wakati wakuugwa pale JKIA! Jakaya alienda na watoto wake wote! Nahisi Obama aliuliza hawa wanao wote??
Salama jabir au
 
Wa lumumba kazi yao kuweka watu korokoroni

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: SDG
duh hatari sana kwani urubani ni mwaka mmoja au ndio vyeti fake
Siwezi jua mkuu,ngoja wataalamu waje! Ila naona kama kijana bado sana,itakua anafanya field kwanza! Yaani kusoma kwa vitenda! Kwa hapo alipo kuruka na hata fast jet tu, sasa akipewa Boeing 777 au Airbus anaweza kuuwa watu huyu dogo

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Wa ufipa wako bize kufundishwa kuuza madawa

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Lumumba kazi kufukuzana na wapinzani tu, wenzenu wanawaza maendeleo ya familia zao

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
Daaa mwanaisha demu wangu wa utotoni sijui ata kama ananikumbuka kapuku mimi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Familia ya Jakaya na Familia ya Shehe Mansoor ni marafiki walioshibana! So dogo anaweza kua pale halipi hata cent moja!

Huyu dogo nilimwona Feza ya pale kawe mara ya mwisho mwaka 2016 akiwa mwanafunzi, na mwenzake yule Chodo a.k.
a Khalfa Sasa nawaza kafikaje hadi kua rubani?? Anya way Fweza ndo sabuni ya roho!!
Uliyemuona Feza ni huyo mwenye tshirt nyeupe wa mwisho, huyo rubani ndio huyo mwenye tsht nyeusi mwanzo
12.png
 
Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Etihad Flying School" ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.

Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.

Au anaweza akawa kwenye shule ya marubani iliyo chini ya kampuni ya ndege ya Etihad.Wakuu kuinua dude kama Boeing 737-800,Boeing 777,Boeing 787 au Airbus 380 au ile mpya A350 siyo kwa bar moja begani.Utauwa watu dakika moja tu.

Kitu kingine wazazi tunachopaswa kujua,a pilot is just a mere driver.Urubani ni kama udereva tu,training yake ni miezi sita baada ya hapo unaanza sasa kuruka ili upate masaa ya kuweza kukupa uzoefu wa kurusha ndege,unaanza kupata leseni ya kuruka ukiwa solo,then ya kuruka na abiria na baadae ndege za kibiashara.

Tatizo ni ada ilivyo ghalama.Kitu kilicho kigumu ni kuwa Engineer wa ndege na sio rubani.Ndio maana zile ndege pale nyumbani terminala one,vijana wengi waliishia kidato cha nne,sababu baba zao wana pesa,wakaenda course South Africa na USA na sasa wanarusha.

Mzee Mwinyi ana mwanae rubani,sema ile sio familia ya facebook na Instagram,
Mi nishakariri kwamba mpaka uwe umesoma hadi six kisha ufaulu wako usipungue one ya point tano!
Kumbe hata form four unaenda!!!

Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
 
Maelezo ya barafu yako sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom