<br />ndo maana kuna makabila mtoto anakuwa mali ya mama akipelekwa shule anaandikishwa jina mama mfano Alex sophia
usikute unataka kukimbia majukumu. Ungefanana vp vidole na mtoto kama sio wako? Wapi iliandikwa mtoto lazima afanane na baba? Anyway kapime dna
Vidole tu???na sura je ni ya mtu mwingine? Watoto wengine wakiwa wadogo hawafanani na wazazi lakini kadri anavyokua ndo anavyofanana na baba na mama some features ofkoz not everything...hebu nenda pale Regency na uhakika watakua na hiyo huduma kama uko dsm lakini
una hakika dna inasema kweli??kwa taarifa yako inategemea na jamaa aliyempa mimba kama damu ni group moja na wewe mtoto ataonekana ni wako,bora kukubali yaishe
kwa sasa wamekataza mpaka uwe na karatasi toka mahakamani, maana ilipoingia hadi waliogombana tu walienda kupima watoto kukomoana, na kweli walikuta wengine sio wa baba huyo
<br />That's just unnecessary bureaucratic red tape.
bt very necessary kwa bongo aisee! hali sio hali!
<br />
<br />