Mtoto usiye na uhakika nae

una hakika dna inasema kweli??kwa taarifa yako inategemea na jamaa aliyempa mimba kama damu ni group moja na wewe mtoto ataonekana ni wako,bora kukubali yaishe

Aaah Director hii ya wapi hii?.,kwani DNA inapima makundi ya damu tu.,vinasaba vinavyopimwa kujua kama ni mwanao au la ni zaidi ya blood groups mkuu na kama ni mwanao kweli ni lazima vinasaba vitamatch tu.
 
Naomba nitofautiane na nyie wote juu ya hili, na namuuliza Bayo wewe umetahiriwa? kama hapana, na je wewe huwa unacheat? kama ndiyo basi wala usifanye DNA manake kuna hiki kitu hapa ullichukua sperm ya mwanaume mwingine kutoka kwa demu wako kwa njia ya penis yako, ukaja kuiweka kwa mkeo pasi wewe kujua wakati ulipokuwa unajamiiana naye. hii ina scientific proof.

Hahahahaha, gfsonwin umeniacha hoi! Naomba utuwekee hiyo scientific evidence basi, halafu tupige na hesabu ya probability.
 
Last edited by a moderator:
kwa sasa wamekataza mpaka uwe na karatasi toka mahakamani, maana ilipoingia hadi waliogombana tu walienda kupima watoto kukomoana, na kweli walikuta wengine sio wa baba huyo

nikuambie kitu,hata wanawake wenyewe hawajui baba halisi wa mtoto wanabaki wanaoteaotea!ukitaka ujue ukweli wa hilo jambo ktk ndoa ya wanandoa waliotulia mwanamke hawezi sema exactly siku gani ndio mimba iliingia,hivyo ingekuwa anatoa kwa wanaume tofautitofauti asingemjua exactly nani kamtia mimba,hivyo basi wanawake wanakupa ubaba kutokana na faida anazohitaji wakati huo!nakaribisha maswali
 
Hahahahaha, gfsonwin umeniacha hoi! Naomba utuwekee hiyo scientific evidence basi, halafu tupige na hesabu ya probability.

mmh! unataka nifungwe manake ndo tunaiandikia ili iwe published soon, so siruhusiwi kuiweka hapa link yake mpaka imemalizika. but that is true hata kwa kufikir tu. Hivi unajua action ya penis? basi erected penis functions like a sunction pump. yaani huwa inafyonza na ikifikia wakati inataka kumaliza kazi basi huwa inatema kwa kupuliza kama hii pump. sasa kama mwanaume haja tahriwa huwa possibility ya kuficha chochote ndani ya govi lake. kama atakutana na mwanamke kahaba ambaye katoka kufanya ngono labda masaa kadhaa yaliyopita basi uwezo wa mwanamke kuwa sperm za mwanaume aliyepita ndani ya via zake kisha zikafyonzwa na penis ya mwingine na huyu anayefyonza akaenda kuzimwaga kwa mwanamke mwingine. Yaani uume ni transporting medium nzur sana ya sperm from one individual to another.
 
jaman mwenzenu nahisi nimesingiziwa mtoto maana nafanana nae vidole tu, nahisi hio ni coincidence.... Mana huyu mama yake hakuwa mtulivu sna... People!!!!!!! DNA ya bei rahisi ni sh. Ngapi?

baba yake marehemu Kanumba anayo dna ya asili ya kisukuma,nenda pande za shinyanga ukatatuliwe tatizo lako mkuu!
 
mmh! unataka nifungwe manake ndo tunaiandikia ili iwe published soon, so siruhusiwi kuiweka hapa link yake mpaka imemalizika. but that is true hata kwa kufikir tu. Hivi unajua action ya penis? basi erected penis functions like a sunction pump. yaani huwa inafyonza na ikifikia wakati inataka kumaliza kazi basi huwa inatema kwa kupuliza kama hii pump. sasa kama mwanaume haja tahriwa huwa possibility ya kuficha chochote ndani ya govi lake. kama atakutana na mwanamke kahaba ambaye katoka kufanya ngono labda masaa kadhaa yaliyopita basi uwezo wa mwanamke kuwa sperm za mwanaume aliyepita ndani ya via zake kisha zikafyonzwa na penis ya mwingine na huyu anayefyonza akaenda kuzimwaga kwa mwanamke mwingine. Yaani uume ni transporting medium nzur sana ya sperm from one individual to another.

kwahiyo tukianza kuwaita magovi TRANSPORTERS tutakuwa tumewatendea haki?haya TRANSPORTERS njooni muone habari hii!
 
Kwanini um suspect mke wako kukuletea mtoto sie. Fanya uchunguzi wa kisayansia. Pia umesema, huyo mkeo hajatuli, umeoa mke ambae hajatulia unategemea akuletee nini kama si hicho alichokuletea?. Huo ni uzembe wako mwenyewe.

Mkulu

Maisha ya ndoa ni zaidi ya unavyoyafahamu.....MUNGU tusaidie....

nikuambie kitu,hata wanawake wenyewe hawajui baba halisi wa mtoto wanabaki wanaoteaotea!ukitaka ujue ukweli wa hilo jambo ktk ndoa ya wanandoa waliotulia mwanamke hawezi sema exactly siku gani ndio mimba iliingia,hivyo ingekuwa anatoa kwa wanaume tofautitofauti asingemjua exactly nani kamtia mimba,hivyo basi wanawake wanakupa ubaba kutokana na faida anazohitaji wakati huo!nakaribisha maswali

Acha kudanganya watu wewe, na mind you people msipende kugeneralize just because hambebi hizo mimba, otherwise mngekuwa na watoto wasio na regular faces. Huwa tunajua sana siku ya kubeba mimba unless ile sayansikimu ilikupita pembeni, mwanamke asiye mwaminifu.

Hapo ni kumshauri jamaa kama kweli ana nia hasa ya dna testing, basi amtafute mwanasheria, ili amsimamie, kwani kwa tanzania hii, aweza bambikiwa hata matokeo yenyewe.

Ingawa kwa wanaume kudhani kuwa wao pekee ndo huchangia kwenye genetic makeup ya mtoto ni wrong. Mtoto ni wa wawili hivyo any part inaweza kuwa na effect genetically.
 
Nilshawahi kusikia wazee wa zamani walikuwa na njia rahisi ya kujuwa iwapo mtoto si wako!

Ni kungojea hadi mtoto ameshaanza kufahamu mwito hivyo kaa kitako na umwite aje kwako. Akiwa wako basi atakuja kuingia bindoni (I hope tunajuwa nini bindo)
 
jaman mwenzenu nahisi nimesingiziwa mtoto maana nafanana nae vidole tu, nahisi hio ni coincidence.... Mana huyu mama yake hakuwa mtulivu sna... People!!!!!!! DNA ya bei rahisi ni sh. Ngapi?

Kuna namna ya kuanza kufanya uchunguzi kwa bei ndogo kabisa bila mtoto kufahamu kama tayari ni mkubwa though inaweza isitoe majibu kamili kwa sababu ya coincidence lakini ni njia bomba ya kisayansi ya kuanzia uchunguzi. Njia hii ni 'blood group'. Blood groups zina equations zake; mfano kama baba ni O na mama ni A basi mtoto lazima awe A au O na sio AB au B. Tools zote ziko online ila kupima group ni hospital na ni dakika mbili tu. Blood Group Calculator | Medindia

Kama njia hii bado italeta shaka basi tumia gene machine.
 
huna lolote wewe untaka kusepa tu, kwa taarifa yako mtoto atakua hata ukumtelekeza
 
Mulika mwizi kaka, siri ya kujua ukweli mbona rahis ? angalia visogo vya majirani zako na cha kwake , kama kinafanana na cha Bushiri yule mpemba mwenye kiosk karibu na kwako , mpelekee mzigo wake !
 
Haya ndo matatizo ya kuvamia wanawake msio wajua, kuna wanawake wengine anakuzalia mtoto kama ulivyo wewe...sababu unaingia kwenye kitu orignal kinatoa orignal copy, sababu sio kila mmoja anauwezo kupata kitu orignal kisicho na kasoro :biggrin:
 
Back
Top Bottom