MaxShimba
Platinum Member
- Apr 11, 2008
- 36,008
- 4,093
[h=3]MTOTO MCHANGA ALIYEOKOTWA ASUBUHI YA LEO[/h]
Wasamaria wema wakikifuta uchafu kichanga kilichokutwa kimetupwa maeneo ya Kimara Baruti Bondeni karibu na maeneo ya Ubungo Kibangu.Yawezekana mtoto huyo alitupwa asubuhi kwasababu amekutwa akiwa hai na bado akiwa na damu.Baada ya polisi kufika eneo la tukio Wasamaria wema walimuwahisha mtoto huyo hospitali ya Palestina Sinza.
Kichanga hicho baada ya kufutwa futwa na kufunikwa.Mmoja wa wasamaria wema amenambia kuwa kichanga hicho cha kiume anaendelea vizuri baada ya kupatiwa huduma katika hospitali ya Palestina na amepelekwa hospitali ya Mwanyamala ambapo ndo kuna kitengo cha kuhifadhi watoto wachanga.
Inasikitisha sana jamani vyombo vya sheria vitoe adhabu kali kwa wanaofanya vitendo hivi ili kukomesha tabia hii.