Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,771
fuatilia mkuu umchukue kihalali ndio bahati yako tena hiyo .ila nmshukuru mungu yuu hai .Wanipatie mie huyo mtoto...serious
fuatilia mkuu umchukue kihalali ndio bahati yako tena hiyo .ila nmshukuru mungu yuu hai .Wanipatie mie huyo mtoto...serious
Tena?Mungu wangu .this is terriblekama amepelekwa mwnanyamala sidhani kama atasalimika huyu .Mungu wangu hapo wameshamuuza huyo hao mabeduli wa hapo,watamla nyama hiyo ni hospitali ya ibilisi