mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,076
- 4,113
Watoto wawili wamefia ndani ya gari (Nissan Double cabin) kwa kukosa hewa Kigamboni DSM baada ya kujifungia milango vioo vikiwa vimefungwa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Muliro Jumanne amesema tukio ni la jana wakati Mama yao Neema Shayo (33) akiwa Kanisani.