Mtoto, dada wa kazi wafariki dunia kwa kukosa hewa baada ya kujifungia ndani ya gari

Fikiria mama alikuwa kanisani anasali atajiuliza Mbona Mungu hakunusuru balaa hilo lisitokee?

Mbona Mungu hakumstua mapema akawaangalie kabla hali haijawa mbaya ili walau wakaponee hospitali?

Iwapo atajiuliza hayo maswali ataumia sana kwa uchungu.

Mungu amfariji zaidi.
Mama amechagua dini hajamchagua Mungu
Angekuwa amemchagua Mungu , angempa signal kuwa mlivyofungia watoto vile ni hatari

Nawashauri mumchague Mungu dini ni njia ya kuzimu tu
 
Hivi mtu anaweza kuandika DOUBLE halafu ashindwe kuandika CABIN badala yake aandike KEBEN?
Mkuu si afadhali hayo yana uzungu kwa mbali mbona hata binti huyo mkuu kaandika bint? Yaani vurughu mwanzo liwe chapisho la ikulu, polisi au kwingine kokote as long as ni this regime ni lazima ukutane na mafyongo ya kufa mtu tena kwenye lugha yetu adhimu ambayo tuna hakimiliki nayo duniani.
 
Back
Top Bottom