Mtoto, dada wa kazi wafariki dunia kwa kukosa hewa baada ya kujifungia ndani ya gari

Hii habari ilirarua Moyo wangu Sana,najaribu kuvaa viatu vya Neema Ni vikubwa....Mungu amtie Ngumu katika kipindi hiki kigumu akawe faraja...Rest in peace Angels😭
 
Fikiria mama alikuwa kanisani anasali atajiuliza Mbona Mungu hakunusuru balaa hilo lisitokee?

Mbona Mungu hakumstua mapema akawaangalie kabla hali haijawa mbaya ili walau wakaponee hospitali?

Iwapo atajiuliza hayo maswali ataumia sana kwa uchungu.

Mungu amfariji zaidi.
Kwa nini hakuingia nao kanisani? Au kuwaacha home?
 
Sasa alienda kanisani akaacha watoto wachunge gari au ni nini.

Kina dada mkipata hebu punguzeni jazba.

Hivi hawaoni visa vya kufungia watoto kwenye gari na kuziba vioo.
 
Wamekufa kwa kujifungia ndani ya Gari... Mama yao akiwa kanisani. Maana yake mama aliwaacha ndani ya gari... Au wewe mwenye akili mingi umeelewaje??
Hivi una akili timamu?
Kwamba aliwaacha kwenye gari!!
Screenshot_20220112-121340.png
 
Unajiona una akili lakini ni pimbi tuu, bado nasema Kuna uzembe hapo... Na kama bado unakereka nenda kameze boga na wewe ufe tuu coz ur a waste of time and space...
Yarabiiiiiiiii.....
Umekalia msumari wa moto?
 
Back
Top Bottom