Mtoto, dada wa kazi wafariki dunia kwa kukosa hewa baada ya kujifungia ndani ya gari

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,060
4,046
Watoto wawili wamefia ndani ya gari (Nissan Double cabin) kwa kukosa hewa Kigamboni DSM baada ya kujifungia milango vioo vikiwa vimefungwa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Muliro Jumanne amesema tukio ni la jana wakati Mama yao Neema Shayo (33) akiwa Kanisani.

Kigamboni.JPG
 
Umakini unakosekana uyo mama alishindwa vipi kutokufunga nusu kuacha nafasi ilihali apo ni kanisani wizi upo kidogo sana,
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom