Mtoto, dada wa kazi wafariki dunia kwa kukosa hewa baada ya kujifungia ndani ya gari

Uongo!
Zile ventilation za AC zinapitisha hewa
Au we mwenzetu unaongelea vent za landrover 109 sio?

Gari nying nijuavyo vent hazipo direct kutoka nje kama magari yakizaman magari mengi vent zimetoka kwenye compressor ambapo pia kuna pipe ni ngumu sana kuruhusu air flow kutoka nje direct kuingia ndani kwa sababu ya mzinguko huo
 
Siyo rahisi hivyo... kuna vya ziada hapo vilivyosababisha...
Ndugu usiwe mbishi yawezekana magari yenu ndio hayo ruber za milango na vioo zimeisha weeee hdi basi bado matundu madogo madogo kwenye flour ya gari,

Zingatieni hili Kwanza gari yenyewe ni nissan halafu namba ni DW kwa maana gari hiyo bado ina upya hasa tukiangalia usajili wake hivyo ninahakika ruber za milango na vioo vikifungwa ni sealed kweli kweli na ruber za flour zipo tight yaan humo ndan ya gari
unaweza kujaza upepo 40 na kesho ukija kupima ni 40 ile ile hakuna hata point iliyo potea
 
Hakuna kitu kama hicho, nakataa...
 
Back
Top Bottom