Mtoto alipoharibu

Mtoto alipoharibu

Sky Eclat umenikumbusha siku moja, miaka mingi imepita, nilikuwa super market nafanya shopping with house mates, kwenye same aisle akaja msichana wa kizungu na katoto .5 kale katoto kalivyoniona kakanikimbilia 'daddy daddy' duh nilibaki nachekacheka sijui nifanye nini.

Yule msichana akamuwahi mwanae na ku apologize, nikamuuliza nafanana na baba yake? Akaniambia kidogo ila hamuoni sana baba yake so anaweza kumvaa mtu mweusi yeyote, lakini sisi tulikuwa watatu akanichagua mimi.

Je kama ningekuwa na gf/mke ingekuwaje? Ingekuwa kama hii story yako?
 
Nimecheka sana mkuu, usije kuwa umeacha point 5 ulaya, hao ndio wakina Obama bwana.
 
Kitu cha muhimu pia ni kuangalia watoto watakua affected kiasi gani psychologically baba ameleta mtoto mwingine.
 
Hili naomba nisilitilie maanani kamwe.
Nilisoma jarida moja la afya, Marekani wamama wenye UKIMWI wanapewa dawa na wanaweza kunyonyesha watoto wao, kwa wenzetu sasa hivi huu ugonjwa hauwapi pressure kama kwetu. Anaetumia dawa anaweza kuishi miaka hata 40 ijayo.
 
Huko ulikofika ni reality lakini hatuombei, UKIMWI uko controlled siku hizi cha kuogopa ni HPV.
Tusikuombee while tunaendekeza uzinzi!!!. Ukimwi wa kawaida siku hizi ila akiwa nao ndugu yako, mie Mungu aniepushe tu. Haimake sense niweke rehani afya yangu kwa ajili ya starehe za mtu mwingine
 
duh hapo mwanaume ajishushe akiri kosa maisha yaendelee.. ila walikosea walitakiwa wawe na mawasiliano in advance wasijekugongana duh.. mke halali anawakati mgumu

Hakuna jambo baya kama kukiri kosa kwa mke wa ndoa
 
Yes. Yaani mi asitegemee nikikuta mtoto kafanana naye sijui daddy ntamuuliza huyu nani? maana nshajua ni mtuye napiga kimya najiongeza tu sihangaiki na mambo ya kijinga atajua mwenyewe ataleaje nakomaa na watoto tu documents za vitu ni majinabya watoto akizaa 30 atajiju mi sihusiki kwa lolote nao.
Kabisa mkuu ya nini kujipa pressure ufe mapema Akha, hukohuko na uzao wa mchepuko hata kijiko hawapati.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom