isotaaaa
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,944
- 824
itakuwa wewe.mwenyewe naona imeleta nusu .story what.next?Wewe ni mtaalamu.
itakuwa wewe.mwenyewe naona imeleta nusu .story what.next?Wewe ni mtaalamu.
Mbona niliendelea hapo juu, mama pressure ilipanda, ilibidi Peter apeleke familia nyumbani, mama baada ya kutulia alitafuta namba ya shost kutoka kwenye simu ya mume wake, alimpigia na kumfahamisha maumivu yake.umeleta nusu story malazia ilkuwaje mara tu mtoto alapo mkumbatia baba..vipi mke wa ndo.alisemaje?
sister pole na yaliyokupata mwisho wa mwaka,Kiualisia hata wewe uliogopa kidogo kukutana na mke mwenzio,ila nawapenda watu kama nyie maana mnasaidia sana ,Kiukweli wewe ni kipepeoMke hakuwa katika hali ya kulizwa pale, ilibidi kumtuliza mke, Peter aondoe familia, wamefika nyumbani mke alipata namba ya simu ya shost kutoka kwenye simu ya mumewe na kumpigia. Alimueleza aelewe inavyouma akiwa kama mwanamke aelewe kuwa shost anavunja ndoa yake.
Mimi hayajanipata mkuu, haya ni majanga ya shost, mimi hapa ni poster master wa hii habari tu.sister pole na yaliyokupata mwisho wa mwaka,Kiualisia hata wewe uliogopa kidogo kukutana na mke mwenzio,ila nawapenda watu kama nyie maana mnasaidia sana ,Kiukweli wewe ni kipepeo
nikimpata mdada kama huyu nitafurahi balaaMimi hayajanipata mkuu, haya ni majanga ya shost, mimi hapa ni poster master wa hii habari tu.
Naona kiongozi unagawa vyeo vya kitaaluma tuu...naomba kwa post hii unipe cheo cha uporopesa...nimekimiss nikikuwa mkubwa nijekuwa kama lipumba mwenye kitu wa CUFWewe ni PhD holder mkuu.
KIGANGO......Mtoto amemrahisishia baba yake, baba amepata njia ya mkato ya kumweleza mkewe wa ndoa kuwa ana KIGANGO mahali! Ila sasa huyo shost yako ajue sasa pesa ya matumizi itapungua na safari za mzee kwenda kwake zitapungua

Unaruhusiwa vaa uhalisia wa Petermi ni mwanaume sasa sijui kama naruhusiwa kuchangia
hapo kazi ipo, the man has to humble to hios wife & telling her the truth.Habari za leo wapendwa,
Jamani leo shost mwingine amepata majanga, huyu niliwahi kufanya nae kazi sehemu flani lakini bado tunamawasiliano.
Kisa chenyewe ni kuwa, shost alipokuwa 30+ aligundulika na fibroids, kwakuwa hakuwa na mume wala mtoto, alikuwa desperate kupata angalau mtoto akihofia baada ya matatibabu anaweza akose kabisa.
Sijui makubaliano yalivyokuwa lakini alikutana na kijana Peter ambae ni engineer, Peter ana mke na mabinti wawili. Shost amebahatika kupata mtoto wa kiume, Peter amechanganyikiwa kwa furaha. Peter aliahidi kumtunza mama na mtoto, aliwapangishia nyumba nzima lakini mbali kabisa na nyumbani kwake, mfano iwe Gongo la Mboto na Mbweni.
Peter alihakikisha mara mbili kwa wiki alikuwa kwa shost akimuogesha mtoto, kumsomea bedtime stories mpaka mtoto akilala ndiyo anaondoka kwenda kwake. Mtoto alimfahamu baba yake na mara nyingi aliuliza kwanini baba hakai na sisi, si fahamu ni jibu gani wazazi walimpatia.
Mke wa Peter hakuwa na fahamu yeyote kwa haya yote yanayotekea. Kasheshe imekuja kipindi hiki cha sikukuu, shost alikwenda kumnunulia mtoto mahitaji ya sikukuu Mlimani City na kugongana uso kwa uso na Peter akiwa na mkewe na watoto wao.
Katoto ka shost masikini kamemkimbilia Peter daddy, jamani Peter aliishiwa nguvu, mke amekuja juu, inakuwaje mtoto apite watu wote aje akuite wewe daddy?
Word mkuu.
Kumbuka yule ni mtoto mdogoAngeita uncle ingeokoa jahazi mbele ya kadamnasi.
HahahahahahaaHata kama... Kama unamichepuko milimani city siyo sehemu salama hata kidogo... Utakutana hata na house girl wako wakati alikuaga anarudi kijijini wiki moja kusalimia wazazi...
Umejuaje kuwa mke wa ndoa anawaza hayo?Mke wa ndoa anawaza kuwa Peter amecheat kwasababu yeye hajapata baby boy wakati mbegu za X na Y zinatoka kwa Peter wala si kosa lake.
Hapo umechemka, mwite mchepuko mbele ya wife mtambulishe mengine mkirudi nyumbani akikataa kutambulishwa aga mtoto rudini nyumbani maana shopping imeishia hapo huko sasa mkayamalize. Jua si wife tu atakeyeumia hata mchepuko maana wote ni wakobasi najiweka kwenye viatu vya mwanaume
nawachukua mpaka kwenye lile banda la juice tunakaa halafu naweka kila kitu hadharani kwa sababu kuna vitu vya kuficha lakini siyo hilo. ni wakati wa kuvuna mbivu au mbichi