miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
mtoto hapo anashida kwa kweli.. wanaume wachepukaji tumieni kinga mnatesa watotoLakin mchepuko unarlax shida iko kwa mtoto
Kwel dam nzito kuliko maji
mtoto hapo anashida kwa kweli.. wanaume wachepukaji tumieni kinga mnatesa watotoLakin mchepuko unarlax shida iko kwa mtoto
Kwel dam nzito kuliko maji
dhaaa!! It's true kinga n muhimu sana ukiwa na,nyumba ndogo wanaume tujiongeze lacvyo watt wetu watateseka sana kukosa malez ya baba na ndo tunaowaona huko barabaran wakizagaa wengi kila kukichamtoto hapo anashida kwa kweli.. wanaume wachepukaji tumieni kinga mnatesa watoto
ni jambo jema .. bora wawe mitaani hatuna mkataba na Mungu utaishi miaka mingapi.? mchepuko na wewe unajipanua unatiiwa mimba upo kwenye nyumba ya kupanga ama kweli akili za kushikwa ni shida.. mi no kwa kweli acha nionekane anaendekeza pesa aiseedhaaa!! It's true kinga n muhimu sana ukiwa na,nyumba ndogo wanaume tujiongeze lacvyo watt wetu watateseka sana kukosa malez ya baba na ndo tunaowaona huko barabaran wakizagaa wengi kila kukicha
Ee mungu nisaidie watt wang wote wawe wa ndan ya ndoa waje wapate malez yote baba na mama
Ukizinduka tu unamkuta dogo ndio anakuamsha 'dady amka'
Yaani akizinduka atazimia tena.Issue ni kuwa iweje uzimie baada ya kukutana na mtoto ambaye amekukimbilia na kukuita dad wakati watoto wengine mmepishana nao hawajafanya hivyo.
Duuuh!!Kabisa mkuu ya nini kujipa pressure ufe mapema Akha, hukohuko na uzao wa mchepuko hata kijiko hawapati.
Kabisa,tena aweza kula hata mabua yenyewe ukose hata cha kulisha ng'ombe.Teh ukicheka na nyani, jiandae kuvua mabua
Yaani nimewashuhudia wenye nao, kwakweli sio wa kawaida.teh teh teh
Ok. Hii iko poa mkuu.Akae na mkewe, amueleze yanayoendelea ampe muda mama afanye maamuzi ni lini atamuona mtoto, au ataamua hataki kumuoana lakini aelewe yupo na anakua.
hapo kwa kweli kuna shida kidogo, ndoa za wake wengi mbona zinaruhusiwa Tz, angefuata nyayo za mz Mengi, anabeba jiko mbili mchezo unaishia hapo. hakuna mtu angekwazika.Habari za leo wapendwa,
Jamani leo shost mwingine amepata majanga, huyu niliwahi kufanya nae kazi sehemu flani lakini bado tunamawasiliano.
Kisa chenyewe ni kuwa, shost alipokuwa 30+ aligundulika na fibroids, kwakuwa hakuwa na mume wala mtoto, alikuwa desperate kupata angalau mtoto akihofia baada ya matatibabu anaweza akose kabisa.
Sijui makubaliano yalivyokuwa lakini alikutana na kijana Peter ambae ni engineer, Peter ana mke na mabinti wawili. Shost amebahatika kupata mtoto wa kiume, Peter amechanganyikiwa kwa furaha. Peter aliahidi kumtunza mama na mtoto, aliwapangishia nyumba nzima lakini mbali kabisa na nyumbani kwake, mfano iwe Gongo la Mboto na Mbweni.
Peter alihakikisha mara mbili kwa wiki alikuwa kwa shost akimuogesha mtoto, kumsomea bedtime stories mpaka mtoto akilala ndiyo anaondoka kwenda kwake. Mtoto alimfahamu baba yake na mara nyingi aliuliza kwanini baba hakai na sisi, si fahamu ni jibu gani wazazi walimpatia.
Mke wa Peter hakuwa na fahamu yeyote kwa haya yote yanayotekea. Kasheshe imekuja kipindi hiki cha sikukuu, shost alikwenda kumnunulia mtoto mahitaji ya sikukuu Mlimani City na kugongana uso kwa uso na Peter akiwa na mkewe na watoto wao.
Katoto ka shost masikini kamemkimbilia Peter daddy, jamani Peter aliishiwa nguvu, mke amekuja juu, inakuwaje mtoto apite watu wote aje akuite wewe daddy?
Umeamua kuzaa nje, muwezeshe mchepuko iliaweze kumsomesha na kumhudumia mtoto, sio uniletee Weee,onyesha uanaume Wako kwa kulea familia mbili.Duuuh!!
Sasa unawakomoa watoto wamekosa nini?
Hapo sawa.Umeamua kuzaa nje, muwezeshe mchepuko iliaweze kumsomesha na kumhudumia mtoto, sio uniletee Weee,onyesha uanaume Wako kwa kulea familia mbili.
Laiti ungepatikana pale Mlimani City wakati ule, umweleweshe mke wa Peter kwa maneno haya, engineer angekulamba miguu.Ilishawahi kunitokeai mimi hiyo . Nlilipanda basi ha humo ndani kulikuwa na katoto kamoja kimepakatwa na mama yake... katoto kaliponiona tu kakaninyooshea mikono na kuniita... DADDY!!!
Sijawahi kumuona huyo mama watoto wala mwanae maishani mwangu. Abiria wote walitumbua macho wakawa wanasubiri vioja vianze... lakini yule mama mtoto alimkana mwanae. Rabda nilifanana tu na baba yake!
Laiti ungepatikana pale Mlimani City wakati ule, umweleweshe mke wa Peter kwa maneno haya, engineer angekulamba miguu.