Kuna Jamaa yangu ni mwenyekiti Wa serikali za mitaa sehemu sasa amezaa watoto wengi ila mdogo wake hana hata mtoto sasa amechukua mtoto mmoja katika wale toka akiwa mdogo wala hajui kama yule mwenye watoto wengi ndio baba hivyo analaumu kwamba baba mkubwa anazaa hivyo.Ninachoamini mkuu ni kuwa hakuna one formula kweny maisha, huyu baby boy anaweza kuja kumzika Peter.
Kosa lipi tena miss chagga? Kuwa na mtoto ni kosa?duh hapo mwanaume ajishushe akiri kosa maisha yaendelee.. ila walikosea walitakiwa wawe na mawasiliano in advance wasijekugongana duh.. mke halali anawakati mgumu
Ni ngumuKama vile rahisi mkuu.
Yo responsible for yo own actions, dont blame them on any1.Wanaume na wanawake wote wanacheat. Sema kiwango kinatofautiana , hujawahi sikia mwanamke anacheat hadi anamletea mume mimba ya nje??
Ishu iko hivi.
Mwanaume aliye vurugwa na kusumbuliwa kimapenzi, anaamua kuwa muhuni player anakutana na binti mzuri, anamtenda . Binti anaumia, anaamua kuwa player na kujali furaha yake, anapata man mpole anaejali future, binti anamuona mshamba.
Anamtenda, jamaaa akipiga hesabu kaumia mara mingi, anaona cha kuangaika nini, bora niwe mpigaji, anakutana na watu wengi, mademu wahuni na wasio wahuni, anaumiza watu n.k
Mzunguko ndio unakuwa hivi. Ukimuuliza man why upo hivi, reason ni binti, binti akiulizwa anasema katendwa sana na men, SO nani wa kulaumiwa???
Ningemlaumu tu.Halafu sisi kazi tuliyonayo ndio hiyo kuzaa shukuru tu hukuzaliwa nje ya ndoa .Maana huwezi kumlaumu baba kwa kukuzaa
Yeah, shida ipo.Shida ni kama mtoto kafanana na daddy ...
Maamuzi ya hapa yanahitaji busara ya pande zote, mke akiwa na hasira za mkizi anaweza kupoteza ndoa yake, Peter amepata baby boy ambae hakumtegemea.Yeah, shida ipo.
Ila kwa situation iliyo na kukiwa na fast response, na kulingana na majibu ya mwanamama alivyo act , mkeo anaweza vunga na kukuuliza baadae endapo ukaamua kutoa utambulisho mzuri.
Shem; Huyu ni mke wangu kipenzi ,fulani. Na these are my kids.
Honestly hapo unaweza zuia au kumfanya mke asifikirie wala kuwaza sana au kuwa atentive kuchunguza kids, tena ukiwa umekakumbatia na ka ndio una kofia unakavalisha kabisaaaa, vaaaa kofia ya baba.....
Wanawake nao ni sumu, check majority ya wanaolia humu. Wanazinguliwa sana aiseee.Lakini wanaume wana siri sana, fikiria zile siku mbili Peter anazochelewa kurudi nyumbani labda alisema kuna vikao kazini kila let say J3 na Ijumaa.
Ishu ni ku buy sometimes huweze jenga mazingira na hali ya kumjuza mkeo.Ya mwenyewe alikua anawaza kutimiza msemo wa kitanda hakizai haram,
Atamficha mpaka lini, kwani hapo bi mkubwa hawezi sepa kwao
Ningekuwa mke wa Peter ningesema dogo aletwe nyumbani, mama yake atakuwa anakuja kumsalimia.
Daah kweli kuwa mke ni wito. Yani wewe ndo umekosewa, ila bado unatakiwa ujifanye tu mjinga ili usipoteze ndoa yako, aiseee. Sio mume ndo alitakiwa ajishushe na kuonyesha Kuwa anajuta kwa alichokifanya?Maamuzi ya hapa yanahitaji busara ya pande zote, mke akiwa na hasira za mkizi anaweza kupoteza ndoa yake, Peter amepata baby boy ambae hakumtegemea.
Mmmh sijui nina hii neema kweli? Jitu lijihangaishe huko kwa starehe zake, mie Nanny wake nikusanyiwe tu watoto (Nawaza tu)Ningekuwa mke wa Peter ningesema dogo aletwe nyumbani, mama yake atakuwa anakuja kumsalimia.
Actions an reaction r equal......then how can you blame man katika kila kitu then.Yo responsible for yo own actions, dont blame them on any1.
Yeah ila ishu ni kubuy time kuweza ku present vitu kwa kiwango ambacho hakita leta maumivu makubwaMaamuzi ya hapa yanahitaji busara ya pande zote, mke akiwa na hasira za mkizi anaweza kupoteza ndoa yake, Peter amepata baby boy ambae hakumtegemea.
Kwasababu hapa ukimuacha aende kumtembelea mtoto ataletwa wa pili.Daah kweli kuwa mke ni wito. Yani wewe ndo umekosewa, ila bado unatakiwa ujifanye tu mjinga ili usipoteze ndoa yako, aiseee. Sio mume ndo alitakiwa ajishushe na kuonyesha Kuwa anajuta kwa alichokifanya?
Mmmh sijui nina hii neema kweli? Jitu lijihangaishe huko kwa starehe zake, mie Nanny wake nikusanyiwe tu watoto (Nawaza tu)
Usitafute justification hapo, kumbuka kuchepuka is a choice so you can ought not to. Kwahiyo ukiamua kuchepuka usitafute wa kumlaumu,its all on you.Kwasababu hapa ukimuacha aende kumtembelea mtoto ataletwa wa pili.
Negative, ata ningekuwa mimi ndio mchizi, hiii sio best option kwa kid wa age hiyo. Kid atalelewa best akiwa kwa mama yake kwa age hiyoNingekuwa mke wa Peter ningesema dogo aletwe nyumbani, mama yake atakuwa anakuja kumsalimia.