Kasheshe imekuja kipindi hiki cha sikukuu, shost alikwenda kumnunulia mtoto mahitaji ya sikukuu Mlimani City na kugongana uso kwa uso na Peter akiwa na mkewe na watoto wao.
Katoto ka shost masikini kamemkimbilia Peter daddy, jamani Peter aliishiwa nguvu, mke amekuja juu, inakuwaje mtoto apite watu wote aje akuite wewe daddy?
Sio kwa njia hiyoBora ndugu wamefahamiana.
Ina ubaya gani?Sio kwa njia hiyo
Yapi hayo mkuu?Hakuna mataarisho.
Tena mapema kabla haja kumtafuta himu jfsiku ya kujua ndugu zake ilifika, heri yake kupata nafasi sahihi
Akiri kosa gani hapo,duh hapo mwanaume ajishushe akiri kosa maisha yaendelee.. ila walikosea walitakiwa wawe na mawasiliano in advance wasijekugongana duh.. mke halali anawakati mgumu
Ya mwenyewe alikua anawaza kutimiza msemo wa kitanda hakizai haram,Mbona hapo kama yule kimada angekuwa na akili ya fasta ilikuwa ni ishu ndogo tu,
Wakati dogo anamkimbilia dady, yule bibie alitakiwa aende, kuanzisha story, shem vip? Mtoto kawamisi baba zake jamani, hamji kumtelembelea , so ingepata pa kumaliziwa.
Honestly Peter hakupanga kuwa na affair, alimsaidia shost ambae alikuwa desperate kupata mtoto, mtoto amepatikana wa kiume ndiyo dira na ramani zilipobadilika.Swala dogo tu hilo unamueleza wife ukweli basi tena hapo kuna sababu amwambie mkewe kua nilitamani mtoto wa kiume
Yani mi naona hasira! Hawa wanaume haki ya MunguSky na shosti zake again.
Huyo shosti nae hakuona wanaume wengine hadi mume wa mwenzie!!
Hivi nyie wanaume kuchepuka chepuka na kuzaa zaa nje ya ndoa zenu mnaona fahari!!!

Yani mi naona hasira! Hawa wanaume haki ya Mungu![]()
Halafu sisi kazi tuliyonayo ndio hiyo kuzaa shukuru tu hukuzaliwa nje ya ndoa .Maana huwezi kumlaumu baba kwa kukuzaaSky na shosti zake again.
Huyo shosti nae hakuona wanaume wengine hadi mume wa mwenzie!!
Hivi nyie wanaume kuchepuka chepuka na kuzaa zaa nje ya ndoa zenu mnaona fahari!!!