Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,375
- 176,224
Mama yako sina hivyo vinasaba wewe utavitoa wapi!!Daah kweli kuwa mke ni wito. Yani wewe ndo umekosewa, ila bado unatakiwa ujifanye tu mjinga ili usipoteze ndoa yako, aiseee. Sio mume ndo alitakiwa ajishushe na kuonyesha Kuwa anajuta kwa alichokifanya?
Mmmh sijui nina hii neema kweli? Jitu lijihangaishe huko kwa starehe zake, mie Nanny wake nikusanyiwe tu watoto (Nawaza tu)
Huu wito chaaaah!!
