Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,037
- 134,299
Unakutana na baba mkwe wako kava hilo vazi pamoja na mama mkwe loh!!!!!



Sijawahi hata kufika hukounakaa Sinza ?
Inashangaza sana, wanapromote ushoga hawa KolokoloSasa imefikia hatua wanaume mmeanza kuvaa kanga!! Mnaelekea kubaya.
Hata bafuni ni ofisiniOfisi gani ?
Sababu hata Bar, Shamba, kwenye Gahawa zote ni ofisi za watu....

Mijitu ya bara ushamba,msuli mtaita khangaSasa imefikia hatua wanaume mmeanza kuvaa kanga!! Mnaelekea kubaya.