Mtindo wa kuchana suruale nini kimeurudisha?

Hii fashion na inipite tu,naonaga kama ni uhuni flani hivi?
Siwezi kabisa kuvaa suruali ya kuchanika.
Upo sahihi kabisa. Hata kwa sasa,(mida hii) naangalia ITV "hawavumi lakini wamo" huyo binti anayehojiwa kapiga suruali ilochanwa magotini. Namna hii pia kupata sapoti itakuwa ngumu
 
Hii fashion na inipite tu,naonaga kama ni uhuni flani hivi?
Siwezi kabisa kuvaa suruali ya kuchanika.
Huo ndio ukweli. Heshima ya mtu inanza kwa muonekanao. Na kwa uhalisia ni.kwamba suruali zilizochanwa sio kabisa.
 
images
images
 
Hii fashion na inipite tu,naonaga kama ni uhuni flani hivi?
Siwezi kabisa kuvaa suruali ya kuchanika.
Ndio maana nataka nikuoe... maana hupendi uhuni.. sasa sema nitoe ng'ombe, pesa au shamba?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom