Nguo kubwa zinazopwaya mtindo wa sasa

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,513
Habari,

Husika na kichwa cha habari tajwa,

Baada ya nguo za kubana kuchukua nafasi ya mtindo uliopendwa sana...

Si wanaume Wala wanawake walivalia mtindo wa kubana suruali.

Wakabana na ngongingo na nyanya ikawa ni balaa kipindi cha mshangazi na mjomba mtindo huu ulitikisa...

Haya kama ilivyo mitindo huwa na wakati
Mibano nayo imepitwa....

Sasa ni wakati wa kuvaa nguo zisizobana, yaani ndo mtindo wa kisasa....

Mabinti na vijana wa Sasa wanavalia suruali na mashati makubwa...

Wanapendeza sana yaani sana hasa wale walio na miili ya wastani..

Vibonge nao wanapendeza na hayo mabwanga ila wasio na vitambi...
 
Back
Top Bottom