Mtikisiko CHADEMA: Harakati mpya zaibuka

Usuluhishi gani na watovu wa nidhamu?Wasaliti wanaandika habari na kuihariri wao wenyewe.Habari hii itoshe kupuuzwa tu
Ben unaelezwa weeee hauelewi, kwa kifupi jina lako na nyota yako njema umeififisha kwa njaa na matamanio yako ya muda, wewe sio wewenote this: unatengeneza historia humu, soon utaulizwatusikie wenye akilinadhani waraka wa chacha wangwe umeusomahivi ni nani aliyekuroga?? njaa?? prestige?? you will loose everything
 
Usuluhishi gani na watovu wa nidhamu?

Wasaliti wanaandika habari na kuihariri wao wenyewe.

Habari hii itoshe kupuuzwa tu

Zittoteam wanapaswa kusoma alama za nyakati.Mkakati wao waliuanza kwa mguu mbaya na hii inapelekea watanzania kuwa na imani hafifu kwa vijana,kwaamba wanajiingiza ktk siasa kufanya biashara.ZZK aamefanikiwa,kachukua chake mapema kawaponza wengi hata anayejiita Dr.KM.
Historia ni mama wa yote ZZK kwa huo 'usomi' wake alishindwa kujua na kupima yaliyomkuta Julius Malema?..aaama kweli ssikio la kufa....!
 
Tuweni makini na mpasuko huu wa makundi mawili haya! 1.) kundi la zitto,
2)kundi la Dr. silaa.
hawa wote ni viongozi wetu ambao tunawategemea kutuongoza wanaCDM jambo la msingi ni kutafuta mbinu za kuwakutanisha wote hawa ili tutafute suluhu kabla ya uchaguzi mwakani tukiwa pamoja kushinda ni halali

Kiongozi hapo ni mmoja, mwingine ni mpenda sifa tu hana lolote. Miezi saba hajafika ofisini utamwita kiongozi acha utani mkuu.:A S 103:
 
Ben unaelezwa weeee hauelewi, kwa kifupi jina lako na nyota yako njema umeififisha kwa njaa na matamanio yako ya muda, wewe sio wewenote this: unatengeneza historia humu, soon utaulizwatusikie wenye akilinadhani waraka wa chacha wangwe umeusomahivi ni nani aliyekuroga?? njaa?? prestige?? you will loose everything

Waraka wa Chacha Wangwe ulioandaliwa Lumumba?fanyeni siasa za kipuuzi hapa JF lakini CDM inafanya siasa za kukutana watanzania ana kwa ana.Hii inanikumbusha 'mzee punch'wakati niko chuo.
 
No alternatives or other choice for these team zitto, the final breath for traitor is now. Zitto Must go.
 
Usuluhishi gani na watovu wa nidhamu?

Wasaliti wanaandika habari na kuihariri wao wenyewe.

Habari hii itoshe kupuuzwa tu

ndugu yangu mbona umekuwa ni mtu wa chuki tuu...? Mbowe ni malaika hakosei? Punguza chuki nawe ni binadamu utakufa utakosa cha kujibu utakapoelekea, usiwe na chuki.
 
Ili tushinde uchaguzi mkuu mwaka 2015 ZZK na kundi lake lote linalomuunga mkono bila kujali ni nani lazima watoke kabisa ndani ya CDM. Ukimuonea huruma kiumbe aliyeko tayari kuuwa harakati za mamilioni unauwa moyo wa wengi.

Kama kweli Marandu na Baregu wako upande wa ZZK naanza kuamini kazi ya huyu mwanasheria. Marandu anajua wazi kulea uozo na kufikiri kuna suluhu na wala rushwa ndio chanzo cha yeye leo kushindwa kuwa ndani ya chama alichokiasisi. Makosa ya NCCR hayawezi kutokea CDM. Piga ZZK chini na vibaraka wake wote, chama kianze kazi ya ardhini na anagani kuanza sasa mpaka 2015 tukichukua dola anaweza kuchukua kadi ya CDM akitaka atakuwa amejifunza kwamba nguvu ya umma ni watu na sio viongozi.

Huruma itatuponza lazima kuwa wagumu na kutomwonea nyani huruma. Huwezi fanya kazi na watu nia yao ni kudhoofisha uongozi uliopo madarakani kwa mujibu wa katiba. Hawa ni waajriwa wa chama na wanachama kusaidia uongozi, wamesaliti harakati.

Kama kila mtu anataka uenyekiti kwa kuanzisha kijichama chake na kujijenga yeye badala ya chama ni hatari sana kwa uhai wa taasisi. Tunahitaji hii taasisi watoto wetu waje waone matunda ya kazi ya baba na babu zao.
 
Nasema na nitaendelea kusema kuwa hakuna mtu wa kumfukuza zitto.

MAMBO YA CHADEMA YANAKUHUSU NINI WEWE MGESE PIA MBULALA? UJIJUI TU JINSI UNAVYODHIRISHA UPUMBAFU WAKO KWA KUWASHAURI VIBAYA WASOKUHUSU,

ZAIDI YOU MUCH WASTE UR CALORIe KUANDIKA YALOYAKIJINGA KILA UANDIKACHO, NINGEKUELEWA KM UNGEELEZA SIKU 90 WALIZOPEWA MAFISAD WATATU, E LOWASA, E CHENGE NA ROSTAM ZILIISHIA WAP KM C KUENDELEA KUISH NA MIZOGA KT CHAMA CHENU?
 
Huyu profesa naye si msomi kama Dr. Cdm kuweni makini na watu hawa. Mkijidangaja kurudi nyuma katika maumuzi yenu mmekwisha.

Wasaliti hawa hakika hawatafanya makosa mara ya pili. Chuki watakazo pandikiza kwa mara pili ya kuwaondoa madarakani hazitakiacha chama hiki salama.

Hata waTz wanaotaka mabadiliko hawata waelewa kama mtageuka nyuma na kukubali kuwa nguzo ya chumvi.

Watu hawa hawana uungwana hata chembe, matendo na matamko yao yana thibitisha hivyo. Sasa unafanyaje suluhu na mtu anaye kuhujumu na asiye na uungwana kabisa.

Kwa ushauri huu uliotoa wewe lazima ni Gamba nia yako CDM ife.
 
Back
Top Bottom