Hakuna suluhu kwa wasaliti, ni kuwatimua tu... msuluhishi dr banna? Sad Raia mwema nayo imenunuliwa! Kigezo cha wasomi pekee hakitoshi, ukiangalia kwa umakini sana utaona wasomi ndiyo wenye kusaini mikataba mibaya kuliko ile ya chief Mangungo! Chenge, Rostam, Mkapa, Karamagi, Rutabanzibwa, Kafumu, Kapuya, Mboma, Apson, Mahita, Mramba, Yonna, Ballali plus some Indians crooks wametusababishia maisha kuwa magumu kwa kuliingiza TANESCO kwenye mikataba ya kishezi, wameruhusu Tanzanite kuchukuliwa, wameruhusu dhahabu kuhamishwa nchini, wameruhusu Almasi, Uranium na Gesi kumilikiwa na wageni... Kwanini Raia Mwema haliandiki kuhusiana na rasilimali zetu zinavyokwapuliwa? hawaoni kuwa umasikini wetu hauendani na rasilimali mungu alizotujaalia?... Shame on you Raia Mwovu...