Mtikisiko CHADEMA: Harakati mpya zaibuka

Mtikisiko CHADEMA: Harakati mpya zaibuka

Raia Mwema wanasema kweli. Mbowe ndiye tatizo ndani ya CHADEMA na sio Zitto. Mtu asiye na shule kama kawaida huwa hajiamini anapokuwa madarakani. Kwa nini Mbowe anavuruga chama ili tu kulinda mapungufu yake binafsi?

unajua mañana ya shule wewe?
 
Nikweli kiongozi lazima ifike mahali maamuzi ya chama ya heshimiwe. Imefika mahali sasa wanajiandikia story wenyewe kwenye magezeti kuonyesha kuna kundi kubwa linawaunga mkono kumbe ni janja yao tu. Tusikubali kuyumbishwa kama wanajiona wasomi basi wakaanzishe chama chao cha wasomi.

Kuwapiga chini kina zzk na cos ndiyo karata peeke ya kuipeleka Cdm magogoni, maana yake Milango ya Ccm na wasaliti wake kuingia Cdm itakuwa imefungwa.
 
Tunapaswa kuchunguza mgogoro wa CHADEMA kwa tahadhari kubwa tukiangalia uwezekano wa kuchochewa na yafuatayo;

1. Uchu wa fedha (Ruzuku), kwamba wanaoitwa wasaliti wanataka wapate kujikwamua kiuchumi baada ya kupata madaraka. Wengi wao ni vijana wanaotegemea siasa kama njia ya kujikwamua kiuchumi (tuhuma za hongo).

2. Uchu wa madaraka, kwamba wanaoitwa wasaliti wanajiona ni wasomi hivyo wanataka nafasi za juu hata kama ni wasomi wapumbavu (siyo wasomi wote wenye vyeti wanaweza kufanikisha mambo). Zingatia ustawi na mafanikio ya chama kwenye maeneo yao.

3. Chama tawala kwa kutumia serikali yake na vyombo vya dola kinatumia madhaifu yaliyotajwa hapo juu (1&2) kujihakikishia udhibiti wa upinzani (Zingatia matamko mbali mbali ya viongozi hata mawaziri kuhusu kusambaratika kwa CHADEMA.

Mkuu namba 3 ndiyo haswaaaaaa lento kuutambua la hii saga
 
Nikweli kiongozi lazima ifike mahali maamuzi ya chama ya heshimiwe. Imefika mahali sasa wanajiandikia story wenyewe kwenye magezeti kuonyesha kuna kundi kubwa linawaunga mkono kumbe ni janja yao tu. Tusikubali kuyumbishwa kama wanajiona wasomi basi wakaanzishe chama chao cha wasomi.

Haya, endeleeni kuheshimu maamuzi ya Familia ya Mtei, na huu ndio mwisho wa saccos yenyewe!
 
Dah, kama Sugu na Lema ndio washauri wa Mbowe basi hakuna muujiza unaokiua Chadema...

duhu nmeshtuka sana apo amna afadhali ata mmoja labda msgwa kwa 5% kwann watu wengi wa slka ya mbowe wanaogopa wasomi na wakosoaji????
 
Usuluhishi gani na watovu wa nidhamu?

Wasaliti wanaandika habari na kuihariri wao wenyewe.

Habari hii itoshe kupuuzwa tu

Wewe saa6+2 ni mpu*z sana, mnafikir cdm ni ya kaskazin! Na nawaaambia kama mtamfukuza zzk na kitila lazma chama kife hamtawez kuishinda propaganda ya ukabila!
 
Kakke,
Hii habari ina walakini mwingi sana. Kwanza msuluhishi hata hajafanya usuluhishi alioombwa ameanza kukutana na media, je akianza kazi si ndio atakua anaitisha press kila baada ya saa moja?

Pili hii habari inasema kuna watu wanaoitwa wasomi (prof Baregu na Dr. Kitila). Hivi hawa ndio wasomi pekee waliopo CDM? How about prof Safari na wengine je sio wasomi?

Kwenye hii habari inasema watu 5 ndio wamekua wanampinga zitto wengine walikua wanamtetea, je kamati kuu ilikua na wajumbe wangapi wakati wa kikao? Je hii agenda haikupigiwa kura kufikia muafaka je kati ya wajumbe 32 wangapi waliikubali hoja kama ni zaidi ya nusu iweje waseme Mbowe, slaa, mnyika, Lisu na lemma ndio wanaompinga?

Kama maamuzi yalifanywa na chombo cha taasis iweje tena issue watu 5 ndio wanaolaumiwa?

Kwa nini mwandishi hajaonesha nia ya kuzungumza na viongozi kupata ukweli kama huyo msuluhishi kweli amefuatwa na uongozi wa CDM kubalamce story?

Mwisho huu uandishi wa kikanjanja una shida. Nimekua nikitamani kupata habari za kina na za ukweli kutoka kwenye magazeti huru lakini wote naona wanaganga njaa. Ni lini media zetu mtakua neutral na kukosoa ukweli?
kuna watu hawataki kukubali ukweli. magazeti kama RAI(SASA RAIA MWEMA), MWANAHALISI(SASA MAWIO) yamechangia kwa kiasi kikubwa kuifikisha chadema hapa ilipo. ni walevi na mbumbumbu ndio watalipinga hili.
sasa kibao kimegeuka na kwa ujinga uliofanywa na chadema kila chombo cha habari(kasoro tz daima) kiko against the move.
kuna wajinga humu wanaita raia mwema eti MAKANJANJA, damn it!!!
siku ya kufa nyani miti yote huteleza, hii ngoma bado mbichiiiiiiiiiiiiiiii
 
:disapointed:Hapana bro ni vema usuluhishi kuliko kutunishiana misuli. Watakaoumia ni watanzania wapenda demokrasia endapo chadema itagawanyika au hata chama kingine chochote kile. Ukumbuke maelfu ya watanzania waliokipigia chadema kura si hawa tunaoshinda kwenye mitandao tukilumbana. Idadi kubwa hawajuii hata kutumia internet na wamehamasishwa tu na vyama mbalimbali kutetea haki zao. Kuwepo na Chadema moja ni ushindi mkubwa sana kidemokrasia. Kuna uwezekano kabisa ya hilo kuwezekana kwani hadi sasa hali inaruhusu. Madhara yatakayotokea endapo Zitto ataambiwa afungashe manyanga, hata kama ni madogo yasipuuzwe kwani yatawaliza wapenda demokrasia. Huwezi amini kwamba itachukua pengine miaka ishirini na hata na zaidi kupata chama cha upinzani kitakachoaminiwa na watanzania tena. Kama inavyopendekezwa watafutwe watu wa nje wa upande wa Mbowe na upande wa Zitto wawaweke mezani kupata suluhu. Na sala nazo zinahitajika. Nashangaa mpaka dakika hizi viongozi wetu wa dini hawajajitokeza kufanya maombi kwa yanayotokea si ndani ya Chadema tu bali hata kwa vyama vingine ambavyo vinadalili ya vurugu. Nimesikia kuna viongozi wengine badala ya maombi wamedhiriki kushauri msajili akifute Chadema. Suluhu ni jambo jema sana na mfano mzuri ni wa Rais wetu JK aliochukua juzi juzi kwenye tofauti zake na Kagame wa Ruanda na Muungano wa afrika Mashariki. Ungesoma huku kwenye JF wakati huo kuna waliokua wanatoa ushauri wa kutisha na kama si busara za Rais angechukua ushauri wao sijui taifa letu lingekuwa liko wapi leo. Wasiotaka suluhu kweli wajiangalie. Wanaweza wakakiponza Chama hiki. Kuna ushauri uliopendekezwa kwamba Zitto achukue nafasi y

.
Mimi naamini kabisa kwamba maamuzi ya kamati kuu ni sahihi na yalikuja kwa wakati muafaka. Anetafuta usuluhishi kwa sasa ni ama hajui maana ya neno suluhu au ni mvurugaji anaetetea kwa makusudi maslahi binafsi yaliyojificha. Ni kwa nini isisubiriwe kwanza siku 14 walizopewa ili kutoa nafasi kwa hao walioshutumiwa kwamba wana nia ya kusuluhishwa? Kama hizi habari katika gazeti la raia mwema sii za kupikwa na yule generali aliyeteguliwa wakati wa mkapa basi ni wazi prof. baregu ni wa kutizama kwa jicho la tatu. Inawezekana kabisa kufukuzwa UDSM ilikuwa sahihi kabisa ila chadema huenda walifanya kosa kumtupia kamba ya kujiokoa coward.
CHAMA THABITI KATIKA MAAMUZI YA TIBA YA MUSTAKABALI WA UKOMBOZI WA TAIFA NDILO TUMAINI LETU. CHADEMA U WORTH TO BE THE ONE.
.
 
Usuluhishi gani na watovu wa nidhamu?

Wasaliti wanaandika habari na kuihariri wao wenyewe.

Habari hii itoshe kupuuzwa tu

wenzako wana kazi, wewe huna kazi-na iwapo uongozi uliopo sasa utaanguka ndo kusema wewe ni muathirika Na.1 kwasababu sijui utaishije-kwajinsi hiyo wewe utapigana kufa kupona suluhu isipatikane kwani suluhu ikipatikana tu ZZK analamba uongozi na siku inayofuata hutokuwepo Ofisini-kwahiyo kila unalochangia/kusimamia ni kuhakikisha amani amani haipatikani, HIVI NDIVYO VIJANA WANATAKIWA KUKUFAHAM na WASIDHANI una uchungu na NJIII hata KIDOGO
 
mkiusikiliza upuuzi wa maccm shauri yenu.

Mnyang'anyeni zitto kadi ya Chadema full stop

Kweli kabisa Mkuu huwezi kusuluhisha NURU na Giza wala Shetani na Mungu.Kosa kubwa kwa CHADEMA kutakuwa kukubali upuuzi huu wa kujaribu kuchanganya mafuta na maji.Hao wasuluhishi wanakosea sana kusema hapo kunamgogoro hakuna mgogoro ni utekelezaji wa Katiba ya Chama.
Hakuna Mwanchadema anaye weza kuunga mkono upuuzi na kipimo cha kumjua msaliti na mfuasi wake ni katika hili yeyote anayezungumzia maridhiano ni tapeli na msaliti mkubwa kuliko hata hao waliosimamishwa.Maaji yaachwe yafuate Mkondo wake na hata huyo nayejitutumua kusuluhisha unasuluhisha nini wakati bado taratibu za kichama hazijakamilika kwa wahusika kujieleza kama walivyo agizwa?.
 
Tuweni makini na mpasuko huu wa makundi mawili haya! 1.) kundi la zitto,
2)kundi la Dr. silaa.
hawa wote ni viongozi wetu ambao tunawategemea kutuongoza wanaCDM jambo la msingi ni kutafuta mbinu za kuwakutanisha wote hawa ili tutafute suluhu kabla ya uchaguzi mwakani tukiwa pamoja kushinda ni halali

ZZK hajawahi kuwa kiongozi wa CDM bali 'kiongozi' wa magamba ndani ya CDM.

Fukuzia mbali ZZK, na kama CDM mtashindwa hili, nasisitiza hamfai kupewa uongozi wa nchi hii. Kuongoza nchi sio lelemama eti. Yaani mnajua kabisa mtu anawasaliti na mnashindwa kumdhibiti halafu mnataka tuwaamini? No way, ZZK should go.

Fukuzia mbali hao, hata kama mkibaki kumi katika chama, as long as you are all loyal to change this country, thats enough. Achana na propaganda za wanaojiita 'wasomi' wa nchi hii. Hawana lolote zaidi ya malundo ya vyeti lakini maarifa ni zero, njaa zimeyatafuna yote.
 
Adui muombeee njaaaa tu,mie nataka wamtimue ZZK,ili huyo mtei mpaka anaingia kaburin asiwe na ndoto za kuiona CDM magogoni
 
“Sasa unaachaje kumsikiliza huyu na ukamsikiliza zaidi mtu ambaye hana sifa za kimageuzi katika ngazi ya kitaifa? Wanaozua tuhuma dhidi ya wenzao hawana hata miaka mitano ndani ya chama?
“Labda nikupe mfano mzuri. Hivi unategemea leo, CCM kwa mfano, eti akina Richard Tambwe Hizza, waanzishe mkakati wa kumng’oa kwenye chama mtu kama Kingunge Ngombale Mwiru kwa madai ni msaliti? Haya mambo yako CHADEMA tu,” alisema mwanasiasa huyo
 
Kweli kabisa Mkuu huwezi kusuluhisha NURU na Giza wala Shetani na Mungu.Kosa kubwa kwa CHADEMA kutakuwa kukubali upuuzi huu wa kujaribu kuchanganya mafuta na maji.Hao wasuluhishi wanakosea sana kusema hapo kunamgogoro hakuna mgogoro ni utekelezaji wa Katiba ya Chama.
Hakuna Mwanchadema anaye weza kuunga mkono upuuzi na kipimo cha kumjua msaliti na mfuasi wake ni katika hili yeyote anayezungumzia maridhiano ni tapeli na msaliti mkubwa kuliko hata hao waliosimamishwa.Maaji yaachwe yafuate Mkondo wake na hata huyo nayejitutumua kusuluhisha unasuluhisha nini wakati bado taratibu za kichama hazijakamilika kwa wahusika kujieleza kama walivyo agizwa?.
Hivi Chacha Wangwe naye alikuwa msaliti?
 
Usuluhishi gani na watovu wa nidhamu?

Wasaliti wanaandika habari na kuihariri wao wenyewe.

Habari hii itoshe kupuuzwa tu

Mnywa maji ya bendera,hujui lolote wacha kuropoka mpuuzi wewe.
 
Back
Top Bottom