Well, 'm impressed 2 hear he said that. Lipumba should swallow his pride & admit the same hata kama ni underground supporter wa sisiem.
Ningependa kama Dr. Slaa angefungua kesi mahakaman petitionin matokeo yaliyochakachuliwa
many people believe as Mtikila the difference is that he has the guts to speak it in public
Mwanamayu:
Ibara ya 41 (7) Inasema: Iwapo mgombea ametangazwa na Tume ya Uchaguzi kwamba amechaguliwa kuwa Rais kwa mujibu wa ibara hii, basi hakuna Mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka yakuchunguza kuchaguliwa kwake.
(7) When a candidate is declared by the Electoral Commission to have been duly elected in accordance with this Article, then no court of law shall have any power to inquire into the election of that candidate.
Kimantiki ibara hii inasema kuchunguza. Hakuna mahakama inayofanya uchuguzi. Kazi ya mahakama ni kutoa maamuzi ya kisheria baada ya kusikiliza hoja kutoka pande zinazopingana.
Je umeshawahi kusikia kuwa mahakama inamfanyia uchunguzi mtuhumiwa wa mauaji au mwizi? kusema ukweli hata lugha ya kiswahili inarudishwa nyuma kwa kufanya arbitration na Investigation kuwa kitu kimoja.
UONGO MTUPU,HUYU MTIKILA KICHWA CHAKE HAKIKO SAWA,SAA IMEPOTEZA MAJIRA NA HAKUNA ASIEMJUA KAMA MTIKILA DAKIKA 3 mbelekwani ni uongo?
Kwani hakuna mahakama nyingine (formal orinformal) inayoweza kushughulikia tatizo hili?
mtikila ana uhakika?kama ni kweli JK ni poyoyo na mbakaji wa demokrasia!aibu yake!SIMTAMBUI JK KAMA RAIS
wow opportunist at wok, kazee kaudini kalikuwa kanasubiri mgombea yoyote akate chochote ili kampigie debe kakakosa maana kalishachuja kitambo! sasa kamekuja na mpya ya 71%, uliza mwenzako mzee wa kufuga majini ya kuangusha watu kanisani @#$kakobe@#@ akwambie alitumia mbinu gani akazipata za chadema.teh teh teh