Mtikila naona anatumia mi TEKNIKI YA KI KGB.Jamaa kashajikita mpaka Ubalozini, anakusanya Data tuuu kesho mkimsikia MTIKILA ANATOA MABOMU msihangaike sana kwani mtu wake ni huyo hapo aliyevaa shati Jeuri, Wine za CCM anakunywa,ili hali huko reading nako yuko very ACTIVE na branch ya CCM,upande wa Jumuiya nako yuko bize maana kajiweka karibu na ABUU FARAJI naona alikuwa anamwona mwenzie JUMA PINTO anafaidi kuwa close na ABUUU....of corse lengo ni lile lile kukusanya DATA
KABLA YA KUNISHAMBUMBULIA hoja ni kuwa
-Si dhambi kutoka UPINZANI KUJIUNGA na CCM lakini huyu mheshimiwa hakuna records zozote zinazonyesha kuwa alirudisha KADIyake ya DP KULE KWA mtikila
-vile vile huyu bwana alikuwa anashiriki kikamilifu katika kampeni za mchungaji MTIKILA viongozi wetu pamoja na BABA YETU WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE MWENYEZIMUNGU AIWEKE ROHO YAKE PEMA. bila kusahau matusi yanguoni kwa ALI HASSAN MWINYI, NA KEBINETI YAKE pamoja na CCM yote kwa ujumla
-Huyu Jamaa ni KATIBU WA JUMUIYA YA WATANZANIA WOTE na naamini kuwa alikula kiapo kuwahudumia watanzania wote bila UBAGUZ. Lakini at the same time huyu bado anasupport zile sera za kuwabagua WAZANZIBARI na hata watanzania waliochanganya damu...sasa hiii inamaana leo hiii anaweza akawa anacheka na Mama balozi lakini deep down usikute anamwona mama balozi ni MWARABU tuuu kwani kule DP wao wana hiyo sera ya kuwachukia WAARABU,WAHINDI,YOTOTE MWENYE YA KUNDE na kuwaita MGABACHOLI ....no wonder WAZANZIBARI WAMEAMUA KUUNDA JUMUIYA YAO....yaani huyu ni sawa na NICK GRIFFIN WA BNP ndani ya chama cha LABOUR
-Naweza kumpa way out: kama AKITAMKA kuwa amerudisha kadi yake ya DP na kuwataka radhi hao wote ambao aliwatukana kwa sababu ya RANGI ZAO
-Pili ushauri ambao ni wabusara zaidi ANGEJIUZULU nyadhifa zake zote mbili kwani huyu bwana anaonekana ni POLARIZING FIGURE...kwenye Jumuiya na CCM
-Anaweza kubaki mwanachama wa CCM wa kawaida huku akiendelea kufanya PHD yake
-CCM READING wana kila haki ya kumjadili na kujadili ni wapi walipo bugi step hadi kumruhusu huyu bwan bila kumfanyia thorough vetting na jinsi gani walivojifunza kutokan na makosa waliyafanya
-ABUU FARAJI naye tunakuomba umwe Makini na huyu bwana japo ni katibu wako and so on lakini kuwa makini tuuu...maana bora huyo JUMA PINTO asiyejua ENGLISH mara mia kuliko huyu....
kwa mchan huu n hayo tuuu lakini kadr muda unavyozodi kuenda basi tutaendelea....najua akina PHILEMONI MICHAEL na MWANASIASA wanaburudika tuuu...o wonder CHADEMA wako makin na nani anajiunga nao