Mtikila ashinda tena kesi ya mgombea huru; Afungua upya Mahakama ya Afrika Mashariki

Mimi nilihisi ni kwa sababu ya muungano hasa kwa sababu niliwahi kusikiliza tapes zake miaka ya 90's na kwenye hizo tapes alikuwa akigusia muungano tu na jazba inakuja...nikahasi Muungano ndio unamkereketa zaidi.
Jasusi.

Asikuchezee akili yako. mtu timamu utasikiliza tapes zote za Mtikila na kujua aligusia muungano tu kama sio mtu wako wa karibu unayefanya naye kazi na kuratibu mambo yake? nakupa home work kama niliyompa Mkandara kwanini tuandikie mate na wino upo, Mtafute Mtikila mpe jina la katibu wa Jumuiya -UK muulize anamjua vipi utapata jibu.

Yebo Yebo.
utadanganya kwingine hapa tutakung'amua tu.tunasubiri sherehe ya Mwalimu ulikuwa wapi miaka yote iwe leo? kwanini sio jana iwe leo?


Mzee Kifimbo naomba nikukumbushe hii thread:

http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=2653&page=17

Kuna mwanabodi humu aliwahi kusema ukimkimbiza chizi mtaani, watu wenye busara watashindwa kujua tofauti kati yenu.
 
img_7467.jpg


Mtikila naona anatumia mi TEKNIKI YA KI KGB.Jamaa kashajikita mpaka Ubalozini, anakusanya Data tuuu kesho mkimsikia MTIKILA ANATOA MABOMU msihangaike sana kwani mtu wake ni huyo hapo aliyevaa shati Jeuri, Wine za CCM anakunywa,ili hali huko reading nako yuko very ACTIVE na branch ya CCM,upande wa Jumuiya nako yuko bize maana kajiweka karibu na ABUU FARAJI naona alikuwa anamwona mwenzie JUMA PINTO anafaidi kuwa close na ABUUU....of corse lengo ni lile lile kukusanya DATA

KABLA YA KUNISHAMBUMBULIA hoja ni kuwa

-Si dhambi kutoka UPINZANI KUJIUNGA na CCM lakini huyu mheshimiwa hakuna records zozote zinazonyesha kuwa alirudisha KADIyake ya DP KULE KWA mtikila

-vile vile huyu bwana alikuwa anashiriki kikamilifu katika kampeni za mchungaji MTIKILA viongozi wetu pamoja na BABA YETU WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE MWENYEZIMUNGU AIWEKE ROHO YAKE PEMA. bila kusahau matusi yanguoni kwa ALI HASSAN MWINYI, NA KEBINETI YAKE pamoja na CCM yote kwa ujumla



-Huyu Jamaa ni KATIBU WA JUMUIYA YA WATANZANIA WOTE na naamini kuwa alikula kiapo kuwahudumia watanzania wote bila UBAGUZ. Lakini at the same time huyu bado anasupport zile sera za kuwabagua WAZANZIBARI na hata watanzania waliochanganya damu...sasa hiii inamaana leo hiii anaweza akawa anacheka na Mama balozi lakini deep down usikute anamwona mama balozi ni MWARABU tuuu kwani kule DP wao wana hiyo sera ya kuwachukia WAARABU,WAHINDI,YOTOTE MWENYE YA KUNDE na kuwaita MGABACHOLI ....no wonder WAZANZIBARI WAMEAMUA KUUNDA JUMUIYA YAO....yaani huyu ni sawa na NICK GRIFFIN WA BNP ndani ya chama cha LABOUR

-Naweza kumpa way out: kama AKITAMKA kuwa amerudisha kadi yake ya DP na kuwataka radhi hao wote ambao aliwatukana kwa sababu ya RANGI ZAO

-Pili ushauri ambao ni wabusara zaidi ANGEJIUZULU nyadhifa zake zote mbili kwani huyu bwana anaonekana ni POLARIZING FIGURE...kwenye Jumuiya na CCM

-Anaweza kubaki mwanachama wa CCM wa kawaida huku akiendelea kufanya PHD yake

-CCM READING wana kila haki ya kumjadili na kujadili ni wapi walipo bugi step hadi kumruhusu huyu bwan bila kumfanyia thorough vetting na jinsi gani walivojifunza kutokan na makosa waliyafanya

-ABUU FARAJI naye tunakuomba umwe Makini na huyu bwana japo ni katibu wako and so on lakini kuwa makini tuuu...maana bora huyo JUMA PINTO asiyejua ENGLISH mara mia kuliko huyu....


kwa mchan huu n hayo tuuu lakini kadr muda unavyozodi kuenda basi tutaendelea....najua akina PHILEMONI MICHAEL na MWANASIASA wanaburudika tuuu...o wonder CHADEMA wako makin na nani anajiunga nao


I wonder ABUU FARAJI anafikiria nini anaposoma mambo haya
 
Tatizo kubwa la Mtikila ni pale anapokubali kutumiwa tumiwa na wanasiasa, kuna wakati alikuwa hana nauli pale London akalip[iwa na ccm, kuna wakati alikwama kule NY akaenda ubalozi na kupewa msaada na ccm, wakati wa uchaguzi wa ccm kambi moja ilikuwa ikimtumia kwa kumpa noma za Sumaye,

Sasa kwenye ishu ya wagombea binafsi sielewi anatumiwa na nani? Hana beef yoyote na Mwalimu, isipokuwa amekuwa akitafuta symbol au alama ya kufahamika na wananchi kwa urahisi, hai-make a sense kusema alimchukia Mwalimu mpaka siku alipokufa alifanya party, huo ndio usaniii wenyewe!
 
Yebo Yebo,
Sam nimemaanisha kifupi cha Samvulachole. Samahani sikueleweka.
 
Jasusi.

Ataelewa vipi huyo Yebo Yebo a.k.a Morinho? mtu aliyefanya party kumtukana Mwalimu na kusheherekea umauti wa baba wa taifa, umewahi kuona mtu timamu anashindana na maiti? utasikia misibani mtu anakuja na kusema nilikuwa namdai marehemu na sasa nimesamehe. wenzetu wakagawa pipi na leo Yebo Yebo anazidi kutuvuruga kuwa ni system ilimzushia Mtikila.

kwanini asimwache Mtikila aje kujibu? lakini bado anajifanya hausiki na Mtikila.

Jasusi fikiria hadi kaseti na maudhui alizotoa Mtikila huyu Yebo yebo anazijua na hata miaka zilizotoka, wewe Jasasu unakumbuka au kujua Mrema alifanya mikutano mingapi ya hadhara 1995? na maudhui ya hiyo mikutano? lakini Yebo yebo anajua hata chuki za Mtikila zililalia wapi, hilo linatosha kwako ujue yuko vipi karibu na Mtikila.

tunasubiri kumsuta kwenye hiyo inayodaiwa sherehe ya kifo cha mwalimu kwa maandalizi ya YEBO YEBO naona ni kuzidi kumchulia Mwalimu Nyerere. yEBO YEBO acha ujinga wako tuachie Mwalimu wetu apumzike kwa amani.
Ukitaka fanya sherehe ya Mtikila kushinda kesi mahakamani tutakuchangia.
 
Kifimbooooeeeh ?

Bado nakuuliza wewe kama hukuwa mwanachama wa mtikila ulijuaje yote haya? Mimi bado niko pale pale kuwa mpaka unafika kumtukana mtu UJINGA kwasababu tuu ame practice democracy yake ya kujiunga na CCM sikuelewi.

Tuwe objective hapa wanabodi.

Kuna kosa gani mtu kutoka Chama Kimoja na Kujiunga Kingine ? Na kama Bwana Kifimbo ni mwana CCM kwanini asipeleke hoja hiyo kwenye vikao vya Chama Chao? . Otherwise kuna mawili either wewe una chuki binafsi na huyu Yebo Yebo, au kama sivyo kale kawivu ka kila siku nako kamo !! samahani Lakini.

Jumuiya ya Watanzania walimchagua MTanzania kuwaongoza bila kujali dini rangi au Vyama Vyake vya siasa. Therefore kuzidi kutuletea issue za CCM vs DP, Dp vs CCM ni kutubore .

Ushauri wangu ni huu- Ka PM ili mumalize bila kutuhusisha wana bodi.
 
Kifimbooooeeeh ?

Bado nakuuliza wewe kama hukuwa mwanachama wa mtikila ulijuaje yote haya? Mimi bado niko pale pale kuwa mpaka unafika kumtukana mtu UJINGA kwasababu tuu ame practice democracy yake ya kujiunga na CCM sikuelewi.

Tuwe objective hapa wanabodi.

Kuna kosa gani mtu kutoka Chama Kimoja na Kujiunga Kingine ? Na kama Bwana Kifimbo ni mwana CCM kwanini asipeleke hoja hiyo kwenye vikao vya Chama Chao? . Otherwise kuna mawili either wewe una chuki binafsi na huyu Yebo Yebo, au kama sivyo kale kawivu ka kila siku nako kamo !! samahani Lakini.

Jumuiya ya Watanzania walimchagua MTanzania kuwaongoza bila kujali dini rangi au Vyama Vyake vya siasa. Therefore kuzidi kutuletea issue za CCM vs DP, Dp vs CCM ni kutubore .

Ushauri wangu ni huu- Ka PM ili mumalize bila kutuhusisha wana bodi.
Issue za rada, ndege ya rais zinajadiliwa humu jee wewe ulikuwa kwenye hizo deals ndio ukajua? swali lako halina kichwa wala miguu. humu kuna issue nyingi tu zinajadiliwa, Yebo Yebo kuwa kiongozi wa DP haikuwa siri! na kama kila kitu kijadiliwe kwenye kikao husika umesema vikao vya chama basi hata rada na migomo ya chuo kikuu inayojadiliwa JF iachwe katika vikao husika i.e Bunge. na wanaojadili hizo issue humu wana chuki binafsi na serikali? au na wahusika? if that is the case nadhani wanajambo forums wote wana wivu kama unavyodai Mpendakwao.

Ccm na WaTanzania walimchagua JK kwa asilimia kubwa sana lakini bwana Mpendakwao umeshindwa kuwaambia watu wanaomsakama JK huku kuwa kuleta issue hizo humu ni kutuboa.
Yebo Yebo kaniita nyamafu, Zero nina akili finyu na mengi. sikukuona ukimuusia. unaniusia mimi kwa kusema ni mjinga ambayo ni sehemu ndogo ya maneno aliyasema yeye.
Mpendakwao uwe unapenda pande zote mbili zinatoa hoja.
 
wewe mzee mambi katunze familia achana kutukanana na watu huku . Mbona unakuwa si mwelewa ? Unatumiwa nini bila ya kujijua kwa bia za dezo ama ?
 
Mpendakwao.
Yebo Yebo hajahama chama kimoja kwenda kingine ana uanachama wa vyama viwili, usiri wake ndio unatufanya tumkalie kooni. aseme tu kuwa alikuwa DP na ameamua kuingia ccm hapo mchezo umekwisha.

Lunyungu.

Kwa post yako hapo juu inaonekana wewe ndio mlevi, tumeweka link kuonesha Yebo Yebo anavyotumia wigo wa Jumuiya kwa manufaa ya familia yake. kifupi anataka kufanya kama nyinyi na Chadema yenu(family business).

Lunyungu sio wewe na wenzako mnaolalamika kuwa viongozi wa serikali wamejiuzia nyumba kwa upendeleo? kumbuka hao viongozi wamekaa muda mrefu madarakani, leo jumuiya haina miezi miwili tayari Yebo Yebo anaitumia kwa maslahi ya familia yake vipi akikaa miaka miwili? jee nyinyi mnaoishutumu serikali kwa Richmond, Nyumba na rada mnatumiwa na nani?

Lunyungu nani asiyekujua ulikuwa humu 24 hours kumtetea Mbowe jee alikutuma kwa kukupa mbege na kipande cha ndizi? au alikupigia kiwi viatu vyako? jee mada anazozitoa Mwanakjj na makala yake Tanzania Daima jee mmetumwa pamoja?

wiki iliyopita kwenye redio yake amewalaani viongozi wetu kwa kumuomba Mwenyezi Mungu awaangamize, siwahi kuona mtu anawaombea shari viongozi wa nchi yake, ilitakiwa amuombe Mwenyezi Mungu awaongoze na kuwazindua.

jana kamuandikia barua rais JK, analalamika Tanzania Daima limepewa onyo. kuna magazeti mengi yamepewa onyo na mengine kufungiwa hakuna aliyekuja juu. lakini hili la Tanzania Daima imekuwa BIG ISSUE.

LUNYUNGU.
kama nyinyi mnajua ya watu na sisi tunajua yenu na Yebo Yebo wenu.
Kiongozi wa jumuiya anapiga debe watu kila kona ya dunia wafanye miss Tanzania kweli huyu ni bogus kama Lunyungu ambaye anajua ya wenzake yeye akimulikwa anadai eti tumetumwa.
 
Kifimbo,

Maelezo yako yooote nimeyaoona. Bado mimi naoana kuwa katika Maelezo yako ni ya WIVU na CHUKI binafsi. Mimi nalopinga ni Wanabodi kama nyie kujaribu kutumia bodi ku-exchange views na siyo kujaribu kusettle personal differences. Umesema Yebo Yebo ana kadi mbili , So inaffect vipi yeye kuwa kiongozi wa jumuiya. Sisi pale tulichagua viongozi kwa kutokana na maelezo yao na siyo kadi zao.

Ukweli ni kuwa Yebo Yebo tulimpa kura kuongoza JUMUIYA ya Wa Tanzania kama Mtanzania siyo Mchadema au MDp au MCCM. Hivyo tutamujdge kwa kulingana na kazi yake kwenye JUMUIYA na siyo Vyama. Wewe unajaribu sana kutuingiza kwenye mivutano ya chama chenu, ndiyo maana nimekushauri na bado nakushauri urudi kwenye vika husika.

Huku Bodini tunajidili NATIONAL ISSUES siyo personal issues za nani katoka cham gani kwenda chama gani . Wewe kutaka kusisitiza kuwa hili ni sawa na swala la Radar au Richmond linanifanya niamini kuwa huenda una shida.

Uongo wako mwingine hili swala la MISS Tanzania UK kwa kumbukumbu yangu nikama limekuwepo miaka mimgi kabla hata Yebo Yebo kupata uongozi kwenye Jumuiya au CCM kufungua Tawi London. Hivyo kutumia hili kama ushahidi kuwa Yebo Yebo anatumia uongozi wa Jumuiya. Ndilo limenihakikishia kuwa WEWE UNASHIDA KUBWA SANA YA CHUKI NA WIVU dhidi ya HUYU BWANA.

Kwanza wewe kutmia jina la Mzee Kifimbo ni kejeli isiyo na mfano Kwa Mwalimu, you should practice what you are trying to advocate.

Samahani lakini maelezo yako mengi yanaelekea kupingana ambayo ni dalili ya
majungu au udaku. Kama unataka sana uongozi wa jumuiya ili na wewe ufaidishe ndugu zako, anda Motion of No Confidence dhidi ya Yebo Yebo. Otherwise, bado nasisitiza kuwa UNATUBORE akuna issue zaidi ya CHUKI , MAJUNGU,na UDAKU.
 
mpendakwao

Hongera kwa kujua HILA za hawa jamaa...ila naomba nikusahihishe wewe na pengine pamoja na wanabodi wengine.

Mimi Yebo Yebo sio Katibu wa TA UK (John Lusingu). Huyo ndugu, hatumii jina hili la Yebo Yebo...Yebo Yebo ni mtu mwingine mwenye kudhamini mchango wa TA UK kwenye maendeleo ya Watanzania wa UK na Tanzania kwenyewe. Mimi ninayejulikana hapa bodini kama Yebo Yebo wala sijawahi kugombea nafasi yoyote ndani ya TA UK au CCM au Chama chochote cha Siasa popote pale. Kadri imani hii ya kumuhusisha Yebo Yebo na Ukatibu za TA UK na pia Uongozi wa CCM Reading inavyoendelea kuenea ndivyo kazi na majukumu ya Katibu wa TA UK yanavyokuwa magumu kwa namna moja au ama nyingine. Mimi binafsi nisingependa iwe hivyo kwa faida ya Wananchi wa Tz wote waliopo UK & beyond. Pia ni kinyume cha malengo yangu ya msingi ya kuwepo hapa bodini "kuchochea/kushangalia/kuunga mkono mazuri yanayotekea katika jamii ya Watanzania duniani...na pia kukemea hila na mabaya ya aina zote." Natumai nimeleweka kwa mara ya mwisho.


Alamsiki
 
Yebo Yebo.
Tumia akilia unaingia na majina mengine kujitetea?

Nakuuliza Miss-Tanzania UK ni PROJECT ambayo imefeli na aibu kwa mwanaume kujisifu kwa kuandaa mambo ya kike.
basi nakuache naona uko busy unaenda kununua vipodozi vya miss-Tanzania.
Aibu padri kujiingiza kwenye shughuli za kike na bado anapiga debe kuwa ni maendeleo na wengine wajifunze kwake. kume malengo ya jumuiya ni kuwa na miss-Tanzania? nakuapia Yebo yebo hakuna mzungu hata wa dawa atakayekuja kwenye hiyo shughuli yako. labda muwakodishe wa Eastern European wale wanapitia mitaani na kwenye matrain.

BALOZI.

Usijiingize kwenye upuuzi wa hawa kina Yebo yebo. hawana vision wala mipango wataharibu haiba yako bure.
 
Yebo Yebo ni vizuri umejitokeza kuweka uchafu wa Kifimbo wazi.

Wanabodi huyu kifimbo ni muongo na mzushi maana ametumia message za yebo yebo kujaribu kumshambulia Huyu bwana mdogo bila sababu yoyote. Alianzia kwenye swala la kadi sasa ameanzisha thread nyingine alimradi tu apate mwanya wa kushambulia huyu bwana. MIMI bado narudia huyu Kifimbo CHUKI CHUKI CHUKI CHUKI !!! I say wewe ni muuaji Kifimbo.

Ukweli ni kwamba uchafu wako utajitokeza hadharani maana mengi unayoyasema humu hayana ukweli wowote. Hebu aacha na sisi tuwe na judgement yetu wenyewe. Umesema mno lakini all ni personal issues.

You can fool some people for sometime ,but you can not fool the people all the time. Una element za USADIST UUMH ! Mchawi kabisa wewe.


ACHA WIVU, Chuki Mind your own bUsiness maana huna issue za maana. Unawashauri wengine waachane na vipodozi lakini una data za washindi wa umiss sijui wapi. Hey!!!

Wanabodi am sorry ,but I think this guy is loosing his marbles
 
#1 Today, 01:27 AM
Mzee Mwanakijiji
JF Senior Expert Member Join Date: Fri Mar 2006
Location: Kijijini
Posts: 2,420
Rep Power: 26



Msolla anaishi nchi gani? Mr. President Pleeeaase!

--------------------------------------------------------------------------------

Cellphone?
Ya Nyumbani?
Ofisini!

Na kuna mtu ana namba ya Mama Katunzi?

Cell
Nyumbani..

Mwenye hizo namba nipenyezeeni kwenye PM jamani!! why is this guy so "unreachable"!!!?
 
Back
Top Bottom