Mtikila ashinda tena kesi ya mgombea huru; Afungua upya Mahakama ya Afrika Mashariki

Mwanakijiji:

I apologize if I have offended you with my statement. Ila Urais ama u-stateman una miiko yake. Na mmoja wapo wa miiko yake(haijaandikwa mahali-ni utamaduni tu), ni kitozungumza mara kwa mara ama kutoa misimamo ya haraka katika masuala mbalimbali. JF kama Forum zingine pamoja na uzuri wake ubaya wake ni kuwa unawahi sana kutoa msimamo. Unless kama huandiki mara kwa mara. Wakati urais ama u-stateman ni taasisi na huwezi kutenganisha mtu na taasisi hiyo. Sijui kama unanielewa. Ni rahisi sana kwa kiongozi kuingia humu na kuchangia kila wakati kama atatumia pen name. Lakini linapokuja suala la kutumia jina lako moja kwa moja lazima utafakari vitu vingi sana kama ya kuandika. Binafsi napata huo mtanziko mara kwa mara. Sasa kama mimi napata huo mtanziko inakuwaje kwa Mwenyekiti wa chama Taifa na inakuwaje zaidi kwa Rais wa nchi?
 
sasa umeweka vizuri... ndio maana tumewaomba msije na majina yenu ili muwe huru kuchangia hoja mbalimbali, hizo kamba mmejifunga wenyewe. Anyway, kama viongozi wa juu hawako tayari kuzungumza mara kwa mara hawana budi kuwa na watu ambao huzungumza kwa niaba yao.
 
[

Mwanakijiji:

Lakini linapokuja suala la kutumia jina lako moja kwa moja lazima utafakari vitu vingi sana kama ya kuandika. Binafsi napata huo mtanziko mara kwa mara. Sasa kama mimi napata huo mtanziko inakuwaje kwa Mwenyekiti wa chama Taifa na inakuwaje zaidi kwa Rais wa nchi?
Kwa mtazamo wangu anaogopa kuonyesha udhaifu wake mapema,kwanini hakufikira hilo kabla ya kuingia humu!
Mwambie awe anakuja kama ufanyavyo wewe hata kwa kujiandaa ili kuficha mapungufu yake, wote ni Binadaamu na asili yetu .......................Huwa tunakosea.
 
Lunyungu kama ni kweli Mtikila ni mtetezi wa kweli ilikuwaje akaenda kwenye ile hotel kupokea mipesa ya Manji na alipostuliwa na kuwa ulikuwa ni mtego wa kumkamatisha kwa rushwa akatoka mbio.

Huyo ndio Mtikila anaewadanya watu nini mtetezi wa watanganyika.

Ni Tapeli tu
 
masatu,
mwadelaa,unajua vijihabari vyako ni zile stori za kusikia, kama unauakika na unachokisema mwaga data watu wajue huna sema nini,ni nani huyo aliyepewa hizo pesa kwa ajili ya kumpa mtikila na zilikuwa kiasi gani,au unanukuhu maneno yake mtikila aliposema kuwa alitaka kuhongwa ?,
 
Masatu hapa utatulia tu ndiyo maana nimekupa onyo mapema . Naona uko kama Msekwa maana alishidwa kusoma alama za nyakati hadi akaondolewa kwa ajibu Uspika .
 
Kuna rafiki yangu kaninong'oneza hapa kuwa Masatu kwa kiswahili ni Chatu (nyoka) kuna ukweli wowote katika hili? na kama ni kweli jina hilo linashabihiana na ndugu yetu humu`?
 
Mafuchila and Mwananchi.Mnaweza kuniita kwa jina lolote lile mtakaloliona ni jepesi kwenu kama ni Masakuu, nyoka chatu nk its fine ndio uhuru wenyewe huo ambao Mtikila amekuwa akiupigania kwa the so called watanganyika.

All said and done turudi ktk mada huyo Mh humu haji hamna hela humu mbona hatuelewani jama?
 
Mchungaji Mtikila amefanikiwa kumpenyeza mwanachama wake mahiri na kuweza kuwalaghai CCM-UK na amefanikiwa kuwa mwenyekiti wa CCM-Reading na ameukwaa ukatibu wa Jumuiya ya waTanzania-UK.

Swali jee kwanini huyo bwana hakuweka wazi kuwa yeye ni mwanaDP na anarudisha kadi na kuchukua ya ccm?
Sharif Maajar na Mpopo wekeni utaratibu wa kupata wanachama waaminifu.
fuatilieni background ya PANDIKIZI LA MTIKILA.



Leta burudani bodini...haahaaaa
 
Kifimbo unao uhakika gani kwamba Yeboyebo ni Kada wa DP ? Sasa unamtaka arudishe kadi ya wapi ? Unataka abakie kuwa Kiongozi wa Jumuiya tu ama aondoke kote ?Maana Jumuiya najua haina chama watu wana imani zao za dini na vyama . Labda kwenye CCM lenu huko. Sasa u fake ndani ya CCM si ni sehemu ya maisha yenu ya siasa ?
 
Lunyungu.
Yebo yebo kuwa mwanachama wa DP sio haramu ila tatizo kuwa na kadi mbili kwa wakati mmoja.

Umoja wa U.K kama yeye ataiwakilisha DP itakuwa safi, ili kuleta balance ya vyama.
 
Ummh!

Kifimbo wewe unatuhumu? Unashitaki ? au unatoa taarifa? Maana nakumbuka wakati fulani huko nyuma tuliwahi kukata mambo ya CCM. Kwani wao huko ndani ya chama chao hawana utaratibu wa ku-deal na issue zao mpaka watuletee sisi JF?

Mimi nadhani Kifimbo una beef na huyu mungwana. Inealekea kila ya Abu Faraji na Yakubu yameisha sasa ni huyu kada wa CCM sijui DP ? Issue na hawa mabwana ni nini hasa ? Mineleshe nipate kujua. Mbona Tabasamu kimya?
 
Kifimbo CCM ina namna yake mnavyo fanya mambo sasa wewe nadhani ni wakati muafaka uchukuliwe hatua za kinidhamu ama ufukuzwe uanachama na uondolewe kwenye Kamati ya Umoja wa Watanzania .Tabia hii inanipa picha kwamba hata Umoja wa Watanzania uongozi wote ni mali ya CCM na hapo ndipo nasema Watanzania wa UK mnaweza kuanza upya na kumwacha Abuu na support yake. Mnaweza kufanya mambo ya maana zaidi kwa kujitolea mkiwa na viongozi huru. Kumbe hata Kulikoni aliutaka uongozi kuendeleza mambo yake maana maandiko yake ni ushahidi kwamba asingalikuwa Mwenyekiti wa Watanzania ila wa Serikali na Umoja wa Watanzania UK .Nilisha watabiria kwamba UK ina wahuni na wasio na nia hata moja ya uongozi mkasema nina Beef na Kulikoni nk . Haya mmeanza wenyewe . Leo ni DP lakini wewe Kifimbo mbona una kadi ya CUF ndiyo inayo kupa status UK na sisi tuanze kusema ?
 
Mzee Kifimbo,

Kama haya unayoyasema ni sahihi, viongozi wa kesho wa TZ karibu wote ni mafia tu au malaya wa kisiasa.

Hawa tunawaowaongelea hapa UK ndio hao hao miaka kumi ijayo mutawakuta bungeni, je tutegemee nini kwa watu kama hao?

Naona mzee Kifimbo umemfanya Yebo Yebo apunguze michango yake.
 
Taratibu msing'oane meno tu.

Na hii habari ya kuwa na matawi ya chama nje ya nchi by itself sio halali. Huyo katibu wa Tawi la CCM Reading, kata yake, wilaya yake na mkoa wake vipo wapi?

Mambo ya kujipendekeza muonekane wazuri kwa viongozi mtamalizana sana huko.

Chonde chonde huko most of them ni vimeo huko. Msije mkachomeana tukaja wapokea minazi mirefu!
 
img_7467.jpg


Mtikila naona anatumia mi TEKNIKI YA KI KGB.Jamaa kashajikita mpaka Ubalozini, anakusanya Data tuuu kesho mkimsikia MTIKILA ANATOA MABOMU msihangaike sana kwani mtu wake ni huyo hapo aliyevaa shati Jeuri, Wine za CCM anakunywa,ili hali huko reading nako yuko very ACTIVE na branch ya CCM,upande wa Jumuiya nako yuko bize maana kajiweka karibu na ABUU FARAJI naona alikuwa anamwona mwenzie JUMA PINTO anafaidi kuwa close na ABUUU....of corse lengo ni lile lile kukusanya DATA

KABLA YA KUNISHAMBUMBULIA hoja ni kuwa

-Si dhambi kutoka UPINZANI KUJIUNGA na CCM lakini huyu mheshimiwa hakuna records zozote zinazonyesha kuwa alirudisha KADIyake ya DP KULE KWA mtikila

-vile vile huyu bwana alikuwa anashiriki kikamilifu katika kampeni za mchungaji MTIKILA viongozi wetu pamoja na BABA YETU WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE MWENYEZIMUNGU AIWEKE ROHO YAKE PEMA. bila kusahau matusi yanguoni kwa ALI HASSAN MWINYI, NA KEBINETI YAKE pamoja na CCM yote kwa ujumla



-Huyu Jamaa ni KATIBU WA JUMUIYA YA WATANZANIA WOTE na naamini kuwa alikula kiapo kuwahudumia watanzania wote bila UBAGUZ. Lakini at the same time huyu bado anasupport zile sera za kuwabagua WAZANZIBARI na hata watanzania waliochanganya damu...sasa hiii inamaana leo hiii anaweza akawa anacheka na Mama balozi lakini deep down usikute anamwona mama balozi ni MWARABU tuuu kwani kule DP wao wana hiyo sera ya kuwachukia WAARABU,WAHINDI,YOTOTE MWENYE YA KUNDE na kuwaita MGABACHOLI ....no wonder WAZANZIBARI WAMEAMUA KUUNDA JUMUIYA YAO....yaani huyu ni sawa na NICK GRIFFIN WA BNP ndani ya chama cha LABOUR

-Naweza kumpa way out: kama AKITAMKA kuwa amerudisha kadi yake ya DP na kuwataka radhi hao wote ambao aliwatukana kwa sababu ya RANGI ZAO

-Pili ushauri ambao ni wabusara zaidi ANGEJIUZULU nyadhifa zake zote mbili kwani huyu bwana anaonekana ni POLARIZING FIGURE...kwenye Jumuiya na CCM

-Anaweza kubaki mwanachama wa CCM wa kawaida huku akiendelea kufanya PHD yake

-CCM READING wana kila haki ya kumjadili na kujadili ni wapi walipo bugi step hadi kumruhusu huyu bwan bila kumfanyia thorough vetting na jinsi gani walivojifunza kutokan na makosa waliyafanya

-ABUU FARAJI naye tunakuomba umwe Makini na huyu bwana japo ni katibu wako and so on lakini kuwa makini tuuu...maana bora huyo JUMA PINTO asiyejua ENGLISH mara mia kuliko huyu....


kwa mchan huu n hayo tuuu lakini kadr muda unavyozodi kuenda basi tutaendelea....najua akina PHILEMONI MICHAEL na MWANASIASA wanaburudika tuuu...o wonder CHADEMA wako makin na nani anajiunga nao
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom