kama ni TBC inapotezea mchakato wa katiba kwani wamekosa majibu ni vipi marehemu Shida alipiga kura, halafu ni kivipi Zakhia Meghji amepiga kura Zanzibar, sasa wanapotezea kwa ushirikina wao. Elimu ni muhimu sana kwa watanzania wasiendelee kudanganywa na hawa majangili.
Habari
Ndugu wewe umenena vyema
Watanzania tunapaswa kuwa makini
Hawa wavimba matumba wanataka kuzihamishia akili zetu kwenye mambo ambayo ni nonsense.
Sawa mti umesimama then what?