Mti ulioanguka zamani wasimama ghafla

Mti ulioanguka zamani wasimama ghafla

kwa babu wa loliondo walienda viongoz wangapi? kwa tz kitu kutangazwa sana hainifanyi kuamini
 
Uliona nini TBC? Uliona mti ukianguka, ukiungua kisha ukaona unasimama wenyewe au ulionyeshwa na TBC mti uliosimama afu zikafuata story za paukwa pakwa?
Ebu jaribu kuwaheshimu Watanzania wenzako na binadamu kwa ujumla. Mti kuanguka na kuungua sio ajabu hivyo mtu hawezi kupiga picha ya mti ulioanguka, lakini hapo ni kijijini watu wanaufahamu huo mti ma hilo eneo.
Kitendo cha mti kusimama kilikuwa cha mda mfupi, walioliona wameshuhudia, lakini kwa mazingila ya kijijini ni wachache wenye hizo digital kamera, hata waliohojiwa ni watu masikini huenda hata simu hawana.
Lakini wengi walioko kwenye picha wanakijiji wanaofahamu mazingira na mti huo vizuri.
Sasa wewe ulieko mbali unajaribu kushawishi umma kuwa tukio hilo ni la uongo, una maana hao wote hawana akili? Kwa sababu ni maskini, hawajasoma au kwa kuwa wanaishi kijijini? Narudia tena, jifunze kuheshimu watu wengine.
 
Hayo ndiyo maajabu ya dunia;

Wiki tatu zilizopita pale mbezi mwisho kwenye stend mpya kabla ya kukuta kale kasoko pana msitu;
kuna mtoto alikuwa analia humu mchana kweupe, walikuja polisi na mbwa wao kunusa ila hakuna kilichoonekana, lakini mtoto anaendelea kulia, mwisho kila mtu akaondoka kimya kimya;

Kisa kingine cha mti ulioota majani nikiwa nautazama huko mbeya nacho ni cha kushangaza.

Tuishie tu kusema duniani kuna vituko.

Madam., umenena!!
 
Huko ndiko kwa wasukuma na wanyamwezi. Wachawi hao.
 
Ebu jaribu kuwaheshimu Watanzania wenzako na binadamu kwa ujumla. Mti kuanguka na kuungua sio ajabu hivyo mtu hawezi kupiga picha ya mti ulioanguka, lakini hapo ni kijijini watu wanaufahamu huo mti ma hilo eneo.
Kitendo cha mti kusimama kilikuwa cha mda mfupi, walioliona wameshuhudia, lakini kwa mazingila ya kijijini ni wachache wenye hizo digital kamera, hata waliohojiwa ni watu masikini huenda hata simu hawana.
Lakini wengi walioko kwenye picha wanakijiji wanaofahamu mazingira na mti huo vizuri.
Sasa wewe ulieko mbali unajaribu kushawishi umma kuwa tukio hilo ni la uongo, una maana hao wote hawana akili? Kwa sababu ni maskini, hawajasoma au kwa kuwa wanaishi kijijini? Narudia tena, jifunze kuheshimu watu wengine.
Ndugu yangu hatuwezi kukubali uongo eti tukipinga tunawadharau wenzetu maskini. Kwa hiyo wewe mtu akiwa maskini akakudanganya unakubali kisa unamheshimu. NDO MAANA KUMBE WATU WANACHUKIA KUONA WATU WANATOFAUTIANA MAWAZO. Ndugu yangu kutofautiana mawazpo sio dhambi. Haiwezekani watu wote tukubaliane eti kisa ndo kuheshimiana na eti tofauti ya mawzo ni dharau. Kwanza mimi na challange nyie mnao sema mmeona na huo ushahidi mmeuona kwenye TV. Ndo nawauliza nyie mliona nini? Kumbuka unapodai umeona ushahidi unawajubu wakuweka wazi, na pia unwajika kuutetea ukishindwa basi SEMA SINA UHAKIKA. We kama unaamini ulichokipona kwenye TV nijbu badala ya kukwepa HOJA. Kimantiki huwezi kudai unaushahidi wa TV wakati tukio limehusisha matukio tofauti( kuanguka kuungua na kusimama) kwa tofauti ya miaka mitatu afu unaonyeshwa eti ushaidi wa watu wanashangaa kwenye mti unadai umeona..... Usione aibu kutumia akili yako kufikiri ndo kazi yake hiyo. Na kwakufanya hivo utawasaidia hao maskini. Wewe unayedai huwezi kuwapinga maskini kwa kuwa kuwapinga ni kuwadharau huwasaidii. Waeleze ukweli ili wajue hakuna kitu kama icho ili waaache kupoteza muda wao awende kufanya kazi. Na wasije kuanza vituko vya kuutumia kama dawa wakaacha kwenda hospital. Ofcourse najua inauma kwa mtu aliyesoma kuambiwa anaendekeza mawazo ya kalne ya pili lakini hatuna la kufanya ukweli utatuweka huru.
 
Ndugu yangu hatuwezi kukubali uongo eti tukipinga tunawadharau

Mimi siongelei kuona picha kwenye TV, lakini vipi kuhusu watu wa kawaida waliohojiwa na kukiri kuufahamu huo mti, jinsi ulivyoanguka na wengine akiwemo mama mmoja kuthibitisha kuuona mti ukisimama na kuwaita watu wengine waje kushangaa. Ni ushangao wa hao watu ndio uliowaita watu mpaka wa vijiji vingine na hadi viongozi wa serikali na waandishi wa habari. Sasa jamaa yangu unapoamua kubisha tuuuuuu, napata shida kukuelewa. Sijui unataka ukathibitishe maabara. Chukua hili wazo na ulitafakari, VITU VINAVYOONEKANA VIMEFANYWA NA VITU VISIVYOONEKANA, VISIVYOONEKANA VINA UWEZO MARA ELFU NYINGI KULIKO VINAVYOONEKANA
 
Watu huona wanavyotaka kuona. hakuna uvumi usiokuwa na msambazaji ambaye hudai kaona. MTI KUSIMAMA HAKUNA HIYO KITU
 
Uyui Kubwa sana hebu tuambie sehemu husika kisha tuwaulize wenyeji, pili ulikuwa unanyenyuka taratibu au fasta? kwa jinsi niwajuavyo wakazi wa Tabora mti hauwezi kuanguka na usigeuzwe kuni kwa kipindi cha miaka mitatu unless uniambie uliangukia karibu na jeshi la Anga njia ya kwenda kakola,
nitakuwa wa mwisho kuamini huu upuuzi

Mwana msufi hauchanjwi kuni!
 
Watu huona wanavyotaka kuona. hakuna uvumi usiokuwa na msambazaji ambaye hudai kaona. MTI KUSIMAMA HAKUNA HIYO KITU

Ulisimama Pale Morogoro eneo la K'ndege watu walilala mbele kinyama, sasa hawa wa Tabora wanaudandia sijuwi wanawaza nini! Halafu wakati wa kusimama gogo huwa linagunaguna mhhh mhhhh mhhh mmhhh sijuwi la Tabora lilitoa mlio gani!
 
Mti aina ya msufi ulioanguka miaka mitatu iliyopita, na baadae kuungua na moto wilayani Uyui mkoani Tabora, leo mchana katika hali ya maajabu umesimama wenyewe huku baadhi ya wananchi wakishuhudia.
Baadhi ya wananchi wameurukia ili kupata angalau gamba lake kwa imani za kishirikina.

attachment.php

Hivi "gambushi" iko mkoa gani vile?
 
Halooo na watu bado wapo tu ngoja uanze kutembea sasa
 
Tatizo katika issue km hizi huwa lipo katika uhabarishaji.
Ukiuliza km mtu aliona huo mti unasimama hautampata.
 
Back
Top Bottom