Mti ulioanguka zamani wasimama ghafla

Mti ulioanguka zamani wasimama ghafla

wapi Guinness book of records..???
njooni huku tz muongeze idiadi ya maajabu ya Dunia!
 
Ni huko mikoani sijui tabora mnisahihishe mliosikia ila nilichoshangaa Ccm wamesema ni wa kwao.mmm makubwa
 
Sioni tofauti yeyote kati ya habari hii na ile ya Wapenzi kunasiana Temeke...
 
Kwa sasa imefikia miti miwili iliyoanguka na kusimama yenyewe wilayani Uyui mkoani Tabora

Hii miti ingekuwa nchi zingne ingetangazw ikawa kivutio na kuongeza fursa, ila hapa BONGO watu wanasema ya kwao
 
Back
Top Bottom