Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 17,439
- 33,159
Safi sana Adella. Tunaishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kutuletea watendaji wachapakazi kama Bibie Adella.Taarifa zinaonesha kwamba Mh Mtendaji anaitwa Adella na ni Mtendaji wa kijiji cha Hydom kilichopo Mbulu , mkoani Manyara.
Cha kushangaza ni kwamba Mwananchi aliyedundwa ndiye ameshtakiwa mahakamani kwa kumshambulia Mtendaji.
Nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazalendo waliorekodi tukio hili la kishenzi na kulirusha mitandaoni
View attachment 1681189
ASIMAMISHWA KAZI
DED wa Mbulu, Hudson Kamoga amesema kuwa amemsimamisha kazi mtendaji huyo ili kupisha uchunguzi kubainisha kilichopelekea mpaka mtendaji huyo kumshambulia mwanakijiji huyo.
View attachment 1681405
Adella ameona akitafuta bakora amchape mwananchi anachelewa sana akaamua atumie magumi kumsulubisha huyu mwananchi mnyonge. Hakika sote tutaisoma namba mpaka tuseme "ccm nambari one"