Mtenda anapotendwa

Mtenda anapotendwa

Mungu mkubwa ila maisha bwana hayana formula yani kakoswakoswa kwenye kuua sasa katibiwa ili akaue tena!!!!ila kwakuwa ndio jinsi yake ya kuishi okay

Hata sisi vyakula vyote vyote tunavyokula tunauwa ili tule, kama si wanyama mimea, tukiumwa tunatibiwa ili tukauwe tena. Imo hiyo.

Kula Uliwe - Jakaya Kikwete
 
huko mwituni maisha sio rahisi kama tunavyodhani kama hata mfalme wa pori nae ananyanyasika ni hatari
 
Huyo Simba wa Kwanza kwenye Video ni kuwa alikufa kabisa. Walimrusharusha kama mpira wa kona, akarudi kwa Bwana God wake. Mhhh, wanyama nao wanaabudu Allah? Au kwa sababu hawajajaliwa neema zake kama Bi Ruge?

Hapa chini kichapo kilitembea maana kilianza kwa Simba vs Nyati, ikawa Nyati/Simba vs Mamba na mwisho mechi ikageuka ikawa ni Nyati vs Simba. Na mshindi ni.............

 
Last edited by a moderator:
Atakamata wengine sio nyati

Nakwambia lazima atarivange! nilishawahi kushuhudia malipizi ya simba kwa nyati kule ngorongoro crater kisa nyati waliua mtoto na kumjeruhi mama, haikupita masaa mawili vumbi lilitimka sijui simba wengine walitokea wapi na waliwalaza chini nyati watatu kwa muda mfupi sana na walikuwa simba 9 tu!
 
Pole yake maana katika simba jike mmoja wao ndio huwa wanamtegemea kwa attack na mbio pia sasa naona imekula kwake hawezi tena kukimbia maskini
 
Kapona!

Wataalam wa wanyama pori kama simba ingekuwa mtu angewashukuru sana kwa kuokoa maisha yake

Ana shukrani kweli kwa mf wawindaji wakimkuta amechomwa na mwiba wakamtoa akitoka anawaletea nyama
 
Back
Top Bottom