Mtenda anapotendwa

Mtenda anapotendwa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,117
1417595148098.jpg
 
Hapo simba atapona tu kama pembe haijamtoboa, vinginevyo, kwisha kazi yake.
Ila duhh, amepaishwa hewani kama mpira..!!

Lioness Siena from the Marsh Pride of lions in the Masai Mara was badly injured on her left lower flank by a buffalo horn.

lions-injury.jpg
 
Hapa kuna nyingine nawasiwasi nazo.
 
Wakati mwingine, bora kikimbia tu....

c822586de17246d9b6424a853a0ba694.jpg

Hahahahaaa kati ya hayawani wote was mwituni salute kwa mzee fisi aisee hawa jamaa ni fearless..! Hapo mzee mzima kaona hakuna jinsi zaidi ya kusalimisha tu maisha yake manake wakimkamata watamsasambua kama samvu la chole
 
Hapo simba atapona tu kama pembe haijamtoboa, vinginevyo, kwisha kazi yake.
Ila duhh, amepaishwa hewani kama mpira..!!

Lioness Siena from the Marsh Pride of lions in the Masai Mara was badly injured on her left lower flank by a buffalo horn.

lions-injury.jpg

Kibano cha haja hiki
 
Hizi ndio 'risks' za kutafuta msosi.
Ila wataalam wa wanyama pori walimuona na kumuwahisha matibabu na baadaye akapona.
Ila 'jasho' ilimtoka simba huyu.
Kuna simba wengine wanakufa katika 'harakati' kama hizi.

Sienas-injury.jpg


injured-lion.jpg

Hili pigo lilikuwa la kuangamiza
lions-stiches.jpg


lion-treated.jpg

Mungu mkubwa ila maisha bwana hayana formula yani kakoswakoswa kwenye kuua sasa katibiwa ili akaue tena!!!!ila kwakuwa ndio jinsi yake ya kuishi okay
 
kweli kwenye kutafuta rizki huwaga ni hatari... mwituni majanga kama haya... mjini escrow hiyoo... sijui wapi ni nafuu..
 
Mungu mkubwa ila maisha bwana hayana formula yani kakoswakoswa kwenye kuua sasa katibiwa ili akaue tena!!!!ila kwakuwa ndio jinsi yake ya kuishi okay

Na wakati huu atakuwa makini mno na ataua kikatili zaidi!
 
Kapona!

Wataalam wa wanyama pori kama simba ingekuwa mtu angewashukuru sana kwa kuokoa maisha yake
 
mshana jr nina clip moja hapa jamaa alikula kibano cha haja kutoka kwa mbogo na walimuua maana aliingilia anga zao yaani anarushwa juu kama mpira wa kona na wanampokea huko huko juu na kumsulubu
 
Last edited by a moderator:
mshana jr nina clip moja hapa jamaa alikula kibano cha haja kutoka kwa mbogo na walimuua maana aliingilia anga zao yaani anarushwa juu kama mpira wa kona na wanampokea huko huko juu na kumsulubu

Kaka kama bado unayo naomba nitumie whatsaap tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Katika hiyo picha yako kama umegundua//haujagundua ni kwamba hawq wanyama wa jinsia ya kike akiwa anataka kuzaa basi wengine huwa hawachezi mbali kumlinda hasa madume, na hapo kama sipo long lilikuwa tukio la aina hiyo Mungu ameweka aina flani ya utashi kwa wanyama, japo wkt wa kawaida wanashindwa kuji-protect
 
Back
Top Bottom