Desierto JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 890 Reaction score 3,090 Jan 1, 2026 #1 Namaanisha hivi! Kwenye wizi lazima Kuna mwizi na aliye ibiwa vilevile kwenye mauaji pia Kuna muuaji Wamekubali Kuna mauaji je muuaji yupo wapi?
Namaanisha hivi! Kwenye wizi lazima Kuna mwizi na aliye ibiwa vilevile kwenye mauaji pia Kuna muuaji Wamekubali Kuna mauaji je muuaji yupo wapi?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 370,438 Reaction score 857,730 Jan 1, 2026 #3 Desierto said: Namaanisha hivi! Kwenye wizi lazima Kuna mwizi na aliye ibiwa vilevile kwenye mauaji pia Kuna muuaji Wamekubali Kuna mauaji je muuaji yupo wapi? Click to expand... Nani anatoa kibali cha kumiliki silaha Nani anauza silaha Nani anauza risasi
Desierto said: Namaanisha hivi! Kwenye wizi lazima Kuna mwizi na aliye ibiwa vilevile kwenye mauaji pia Kuna muuaji Wamekubali Kuna mauaji je muuaji yupo wapi? Click to expand... Nani anatoa kibali cha kumiliki silaha Nani anauza silaha Nani anauza risasi