Baba Askofi Azungumza kwa Hasira , Mauaji yanayondelea. Mungu amlinde...

Baba Askofi Azungumza kwa Hasira , Mauaji yanayondelea. Mungu amlinde...

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,640
Reaction score
17,197
Mungu anasema haki huinua taifa yaani taifa lolote ili liende linahitaji kutenda haki. Na mtenda haki wa kwanza anaitwa rais wa nchi huyo ndio right marker wa haki. Lazima asimame kwa haki aamue kwa haki awe mwanamke awe mwanaume.

Akisema haki kwanza taifa linakuwa na amani."Sasa ili watu wawajibike lazima wawe na hofu ya dhambi. Mwinyi Mwinyi amekuwa mlezi wetu sana... mzee Mwinyi kila wakati alituita viongozi wa dini... waambieni wanasiasa watende haki..."

"...nyinyi niwaambie madhara ya kumwaga damu za watu kama huachii kama hutubu maana yake utakufa wewe na watoto wako...

Hali bado ni Tete....
Nini kifanyike!?

 
Back
Top Bottom