Ukiangalia kwa undani sana utagundua kuwa adhabu ile iliwagusa Mtela na Jokate kwa pamoja.
Lakini Jokate kapona kwa sababu zilizohifadhiwa.
Kitendo cha kumuambia DAS mpya nakuteua na wewe mkaanze kugombania wanaume na DC wako ni picha ya wazi kuwa DC anapenda kugombea wanaume hivyo ana tabia za Mtela naye.
Jee kwa nini DC Jokate yeye hajaguswa? Na jee kwani Jokate ni mke wa mtu kiasi cha kusababisha anayefanya mahusiano naye awe amefanya na mke wa mtu?
Maswali ni mengi zaidi ya majibu, hasa tabia hiyo ya Mtela inapoichukiza hadi Ikulu yetu na kuchukuliwa hatua hadharani bila kujali wangapi wataathirika na udhalilishaji ule