mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,165
Ashafunikwa shuka LA gizaMungu amfunulie
Ashafunikwa shuka LA gizaMungu amfunulie
mkuu Mtela Mwampamba hakika leo umelitendea inavyofaa taifa lako, umechangia vizuri mno katika kipindi ya malumbano ya hoja ITV nakupongeza sana. achana na zile siasa zako ulizokuwa unafanya kipindi kifupi kilichopita. kwa mwendo huu ulioanza nao leo utafika mbali
Andunje siyo tusi Mami, hiyo Kiswahili tunaita wajihi.Kiukweli siku hizi idadi ya Wasukuma wa ajabu ajabu imeongezeka!. Msukuma gani anayetukana wenzake kuwa kuwaida majina ya dharau kwa maumbile yao?!. Kwa vile mtu hajipangii kimo, ni mambo ya genetics, heredity na mutation, na life circumstances za hali za maisha, kwanini umuite mwenzako andunje?.
P
Sijasema ni tusi ni kumtukana!. Sio lazima kila kutukana ni tusi!. Kumuita mtu Andunje ni jina la kutweza.Andunje siyo tusi Mami, hiyo Kiswahili tunaita wajihi.
Tukiachana na hili je unalizungumziaje hili swala la Mtela kula wake za watu?Sijasema ni tusi ni kumtukana!. Sio lazima kila kutukana ni tusi!. Kumuita mtu Andunje ni jina la kutweza.
P
Rais ametupa dongo kwa Wazaramo kwa kushindwa kumuoa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate MwegeloMay 2016 hadi June 2020 ni miaka 5, napo ni mbali!.
P
Kiukweli siku hizi idadi ya Wasukuma wa ajabu ajabu imeongezeka!. Msukuma gani anayetukana wenzake kuwa kuwaida majina ya dharau kwa maumbile yao?!. Kwa vile mtu hajipangii kimo, ni mambo ya genetics, heredity na mutation, na life circumstances za hali za maisha, kwanini umuite mwenzako andunje?.
P
Rais ametupa dongo kwa Wazaramo kwa kushindwa kumuoa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo
Je, Unakubaliana na Rais Dkt. Magu kuwa Wazaramo wameshindwa kazi? Na unafikiri ni Kabila gani lingeweza kufanikisha zoezi?
Kiukweli siku hizi idadi ya Wasukuma wa ajabu ajabu imeongezeka!. Msukuma gani anayetukana wenzake kuwa kuwaida majina ya dharau kwa maumbile yao?!. Kwa vile mtu hajipangii kimo, ni mambo ya genetics, heredity na mutation, na life circumstances za hali za maisha, kwanini umuite mwenzako andunje?.
P
Na jana limeiva😂Jipu huyo!!!!
Ukiangalia kwa undani sana utagundua kuwa adhabu ile iliwagusa Mtela na Jokate kwa pamoja.Nilicheka aliposema sasa na wewe nimekuteuwa mkaanze kugombania wanaume na mkuu wa wilaya wako
Mbona sasa kaishia Kisarawe tu? Nauli ya buku tu na chenchi inabakimkuu Mtela Mwampamba hakika leo umelitendea inavyofaa taifa lako, umechangia vizuri mno katika kipindi ya malumbano ya hoja ITV nakupongeza sana. achana na zile siasa zako ulizokuwa unafanya kipindi kifupi kilichopita. kwa mwendo huu ulioanza nao leo utafika mbali