Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,368
- 8,072
mkuu Mtela Mwampamba hakika leo umelitendea inavyofaa taifa lako, umechangia vizuri mno katika kipindi ya malumbano ya hoja ITV nakupongeza sana. achana na zile siasa zako ulizokuwa unafanya kipindi kifupi kilichopita. kwa mwendo huu ulioanza nao leo utafika mbali